September 11 remembered in NY City

September 11 remembered in NY City

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
RTR73XO_232933.jpg
AP010911117496_232927.jpg

Jamaa akijirusha toka ghorofa ya WTC ilipoanza kuungua
 
RTXKQQP_232941.jpg


Baada ya dege la kwanza kuzama ndani ya tower ya kwanza dege la pili hilo ninaingia kwenye tower ya pili kumaliza kazi, ilikuwa ni kitisho na kihoro cha hali yajuu na kuikua kama dunia ndogo
 
It was sad, walaaniwe wale askari mujahidina. Pathetic evil people
 
Sio mujahidina wewe, ni freemasonry hao wakitaka kutengeneza siku yao ya kuadhimisha dunia nzima tarehe 11/9
 
nasikia kwamba ndugu zetu waarabu wanasingiziwa tu ktk hii ki2 wanajamvi.................bado kuna wingu ktk hili
 
kuna watu wanakumbuka sept. 11 lakini hawakumbuki mabomu ya mbagala & gongo la mboto yalikuwa lini...
 
Wamarekani hiyo siku hawawezi kuisahau vizazi vyao vyote vijavyo!
 
Back
Top Bottom