Recent content by jang40

  1. jang40

    JamiiForums Tanzania Je, vipofu huota ndoto?

    kipofu anaota,, vizuri tu kabla ya kuwa na mwili huo ambao hauna macho aliishawahi kuishi katika mwili wa macho,, hivyo kumbu kumbu anazo vizuri tu za huko nyuma.. usikute hata mleta mada huko nyuma ulishawahi ishi ukiwa kipofu ukafa ukarudi tena ukiwa na macho,, ipo hivyo..
  2. jang40

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mganga unae unatembea nae kila siku..
  3. jang40

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu dawa ya kunguni

    wana nyanyasa..
  4. jang40

    JamiiForums Tanzania Home tips

    Safi sana.
  5. jang40

    JamiiForums Tanzania Muujiza mdogo uliotokea leo

    sawa nawewe ni muumini wa hili?
  6. jang40

    JamiiForums Tanzania Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    katika ubora wako
  7. jang40

    JamiiForums Tanzania Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

    hii nimeielewa sanaa na nakwenda kuifanyia kazi, imenikumbusha vitu vingi saana imenifungua nimeanza kuona maeneo yaliyopandwa miti na aina ya maisha walionayo.. kuanzia aina ya miti na maisha yao, Barikiwa sana..
  8. jang40

    JamiiForums Tanzania Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

    Hili Mshana Jr anahitajika atusaidie mimi kwangu pia nimeliona..daah.
  9. jang40

    JamiiForums Tanzania Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

    umetisha mzee....
  10. jang40

    JamiiForums Tanzania 1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

    Uingereza sikwenye ofisi zao bomani pale tukuyu..[emoji1787][emoji1787]
  11. jang40

    JamiiForums Tanzania Zijue faida ya matumizi ya mafuta ya zaituni (olive oil)

    Alaaah kumbe..
  12. jang40

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Shee huyo ndugu yako hataki uwe mtumikishwa so mimi pia ni mwajiriwa lkini sipendi kuwa mtumwa ..dah natamani kijiajiri na kuajiri piaa sasa hapo boss 200ml nyingi saana..mimi nakushauri chukua kisha ingia mafinga hapo na 20ml tu.. kachukue mzigo wa mbao kauze bandari pale Tanga utakuja nishukuru..
  13. jang40

    JamiiForums Tanzania Angalizo, Tuwe makini

    Mimi kunaduka nilikuwa nanunua gas..sasa chenj ilibaki kama 3000..wakati waduka ananiletea nimdada..nahuyo wa ki pub nae anatoka anasema hiyo chenj nipe mimi nilimwangalia basi karudia nakurudia mikausho kama yoote..simfahamu hanifahamu..
  14. jang40

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    Hakika ndg..
Back
Top Bottom