Muujiza mdogo uliotokea leo

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Nilikuwa nasoma or rather nilikuwa naisikiliza hii sutra (katika read aloud), halafu ilipofika kwenye hii passage, The Ten Powers of the Tathagata ikasimama yenyewe. Ndio muujiza uliotokea, kwamba simu yangu ilisimama yenyewe ikawa kimya.

Sasa, hizi Ten Powers of the Tathagata, the powers of The Buddha, zinatajwatajwa sana katika hii dini ya Buddha. Nimepata tafsiri hapa, Subhūti, nguvu kumi za tathāgata ni zipi?

[F.75.a] “Wanajua kwa usahihi liwezekanalo kwamba linawezekana, na kwa usahihi wanajua lisilowezekana kuwa haliwezekani. 733 Wanajua kwa usahihi kutoka kwa mtazamo wa mahali na kwa mtazamo wa sababu, matokeo ya matendo ya zamani, ya sasa, na yajayo na utekelezaji wa vitendo.

"Wanajua ulimwengu kwa usahihi na sehemu tofauti za Mbingu. Wanajua kwa usahihi wingi wa matamanio na utendaji na imani mbalimbali za viumbe wengine na watu wengine. Wanajua kwa usahihi ujuzi wa fani za juu na za chini za viumbe wengine na watu wengine. Wanajua njia kwa usahihi popote inapokwenda.

"Wanajua kwa usahihi unajisi na utakaso wa viwango vyote, ukombozi, uimarishaji wa kutafakari, na tafakuri, na kutokea kwao. Wanakumbuka hali nyingi za awali wanakumbuka (maisha yao ya zamani)maisha moja tu, hadi kukumbuka ya hali nyingi za kuwepo pamoja na sura zao na hali yao ilivyokuwa."

734 “Kwa jicho lao lililotakaswa la kimungu linalomzidi mwanadamu kwa mbali, wanaona viumbe wanaokufa na kuzaliwa, na wanawaona wale viumbe ambao wana tabia mbaya ya kimwili, ya kimatamshi na kiakili, ambao wana misimamo isiyo sahihi na kuwasema vibaya viumbe watukufu.

Na ambao, kwa kuvunjika kwa miili yao baada ya kifo, hutumbukia ndani na kuzaliwa katika aina za maisha zenye maafa ya kutisha kwa sababu ya sababu hizo na hali hizo. Na wanawaona wale viumbe ambao wana tabia nzuri ya kimwili, ya maneno na kiakili, wenye misimamo iliyo sawa na hawasemi vibaya juu ya viumbe watukufu.

Na ambao, kwa kuvunjika kwa miili yao, huzaliwa miongoni mwa miungu katika hali nzuri za maisha. Ulimwengu wa mbinguni kwa sababu ya sababu hizo na hali hizo.

Kwa hiyo, kwa jicho lao la kimungu lililotakaswa ambalo linampita mwanadamu kwa mbali wanajua kwa usahihi, kulingana kabisa na kitendo, vifo vyao na kuzaliwa upya, miili mibaya [F.75.b] na miili mizuri, na maumbo ya kutisha na aina nzuri za maisha.

"Wanajua kwa usahihi kutoweka kwa dhambi zao, kutokuwepo kwa dhambi zai, akili iliyoachiliwa huru, na hekima ambayo imeachiliwa huru." Hizi zinaitwa nguvu kumi za tathāgata.

Hapa anaongea mambo kama vile, Buddha anajua mtu huyu akifanya hivi, jambo hili litamfika. Mambo ambayo hata Aristotle alisema. Aristotle alisema haiwezekani, hata siku moja, kwamba linaweza kutokea jambo mwezi huu ambalo usingeweza kusema mwezi uliopita kwamba litatokea.

Ile sutra niliyokuwa naisoma inaitwa The Perfection of Wisdom in eighteen thousand lines, quite a long sutra (I don't think you would appreciate reading such a long sutra). Lakini tunasikitishwa na hii procrastination ya Rais.
 
Nimeona UFO sasa hivi. Nilikua nje katika garden nafanya walking meditation. Saa nane juu ya alama nimeona UFO. Now that is strange.

Last time nilipoiona UFO kama hivi, inapita right on top of my house pia ilikuwa saa nane usiku juu ya alama, nilipokuwa in the garden doing walking meditation.

Nilipoiona UFO ilikuwa wakati ule wa Kampeni, wakati ule msaidizi wa Bernard Member alipokamatwa airport ametoka South Afrika na hela nyingi.
 
Huyo shetani anacheza na akili yako.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu. Uislam.
 
Huyo shetani anacheza na akili yako.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu. Uislam.
Oneni mwingine huyu
JamiiForums-1773943496.jpg
 
Sidhani kama somo limeeleweka kwa wote, hayo mavitu magumu kuyaelewa, ebu tumia njia rahisi kutuelewesha.
Unaandika kama vile wasomaji wote ni budhaa
 
Dah akili zingine bhana,naona umekuwa mwanaharakati wa dini
Kuwa "mwanaharakati wa dini" ndio nini haswa? Au kusema ukweli?

Hivi weee huelewi kuwa kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, Uislam, ndio dini pekee duniani?
 
Buddha kama Buddha Wana hekima zao zimesimama kisawasawa ingia huko utagundua ulimwengu hauko kama tuuonavyo.
 
Back
Top Bottom