Recent content by JANFE

  1. J

    Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

    Mko kwenye majaribio ya mapenzi. kazi unayo
  2. J

    Hii 'couple' siielewi kabisa, ushauri wenu utanisaidia

    Kuna kaka mmoja ambaye ni rafiki yangu kitambo sana. Tulisoma wote chuo kikuu degree ya kwanza tukisoma darasa moja na kozi moja. Baadaye tukasoma tena masters kozi moja. Kipindi chote cha masomo yetu na urafiki wetu, huyu kaka alikuwa na mahusiano yasiyoeleweka kwa kweli. Ni mzuri wa sura, very...
  3. J

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Haaaaaaah, kama huna uzoefu dont try, or try at your own risk. Wengine ukimfanyia hivyo ndo anajiachia kwa raha zake
  4. J

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Soma vizuri madam. Nimeandika mayai manne. Alafu nikagawa nusu kwa watoto, na mimi nikala nusu iliyobaki, so hesabu ya haraka nimekula mayai mawili. Pia nilipoenda mjini nilipata maziwa fresh vikombe viwili na bites tuu. Sipendi kula gengeni wala safarini hovyo hovyo. Najipenda
  5. J

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Hii style niliiona mahali flani enzi hizo nikiwa form four. Nimewaza approaches nyingi, nimeona kumpiga nitawakusanya watu bila sababu, alafu nitatengeneza bifu na wazazi na ndugu zake bila sababu. Kumpiga mwanamke ni kumpa kiki.
  6. J

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Kwanza nishukuru kwa wote mliochangia mada tajwa niliyoileta hapa Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke? Nilirudi nyumbani saa 2 na nusu usiku, baada ya kupumzika sehemu flani ambapo nilipata chochote cha kuujali mwili nisije kupata vidonda vya tumbo kisa njaa wakati hela ninazo...
  7. J

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Am just thinking loudly. siku mbili zilizopita nilisafiri kwa shughuli za kiofisi. Kama mjuavyo mambo ya serikali yetu hii, unajaza imprest, hela ya safari inachelewa kutoka, au unaweza kulipwa hata baada ya wiki au mwezi tangu urudi toka safari. Sasa mimi ndo yakanikuta. Ikabidi nijiongeze tu...
  8. J

    Msaada: Mahitaji ya kuomba mkopo Loans Board

    Jamani naomba kujua summary ya vitu vinavyohitajika ili kuomba mkopo loan board. Kuna vingine nina uhakika navyo lakini naomba kujua kama kuna kingine nimesahau. Cheti cha form 4 Picha ya passport Cheti cha kuzaliwa Picha ya mdhamini Tsh. 30,000 (application fee) Je, kuna mengine? Kuna mtu...
  9. J

    Nyie wadada hivi mtajitambua lini? Na mpigwe tu

    Kilichonitokea jana kimenifanya niwaze mara mbili mbili kuhusu hawa viumbe wa kike hapa duniani. Iko hivi? Jana nilienda kwa rafiki yangu kwa maongezi ya mambo ya business (it was an appointment). Tulikuwa tumeahidiana tukapange business plan ya mradi fulani ambao tumeshafanyia pilot study na...
  10. J

    Call ya house girl kwa mume wangu

    Potezea ili mambo yarudi normal. Ukizidi kukomalia hiyo issue, ndo utajiumiza zaidi. Bora muyamalize muyasahau. Si rahisi mwanaume kukubali kirahisi.
  11. J

    Laiti huyu mwanaume angejua...

    Jamani mwenzenu hali siyo shwari !! Namwonea huruma huyu mwanaume anayekwenda kumuoa huyu binti ambaye anakwenda kuolewa kwa show off!! Ilikuwa hivi, Mwaka 2010 nilikutana na dada mmoja, single mother. Kipindi hicho nilikuwa mbali na familia kwa muda mrefu kwa sababu za kimasomo. Tulifahamiana...
  12. J

    Nisaidieni, naweza kufa kwa mawazo

    Najua wengine mko kimasihara. Hata nikimpata nisipotatua tatizo la msingi haitakuwa msaada kuwa naye
  13. J

    Nisaidieni, naweza kufa kwa mawazo

    Mimi ni mwanaume, Nimefikiria sana mambo mengi, nimepitia uzoefu mgumu sana maishani, kijamii na kimahusiano. Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri. Ila kwa changamoto nilizopitia, nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu maisha. Nimejikuta nachukia wanawake kuliko maelezo, nikimwona mwanamke...
  14. J

    Mkasa wangu

    Tangu jana saa moja na dk 20 usiku simu imekata chaji. Hahahahahahaqa
Back
Top Bottom