Nyie wadada hivi mtajitambua lini? Na mpigwe tu

JANFE

Member
Nov 10, 2015
21
106
Kilichonitokea jana kimenifanya niwaze mara mbili mbili kuhusu hawa viumbe wa kike hapa duniani. Iko hivi?

Jana nilienda kwa rafiki yangu kwa maongezi ya mambo ya business (it was an appointment). Tulikuwa tumeahidiana tukapange business plan ya mradi fulani ambao tumeshafanyia pilot study na sasa tunaanza rasmi. Sasa nikiwa kwa huyu jamaa yangu, mara akaingia binti, tukasalimiana na tukaendelea na maongezi yetu. Kwa kweli binti ni mzuri sana kaumbika kweli, alafu na kasauti flani soft amazing!! Baadaye jamaa akasema ngoja amsikilize huyu mgeni mara moja, mimi nikabaki napitia document husika ili tuichambue vizuri. Baadaye akaniita tukaendelea na mazungumzo yetu huku huyu binti akifanya kazi yake kwenye laptop ya jamaa.

Tulipofikia muafaka nikaaga ili niondoke, jamaa akaniambia hapana, nimsubiri huyu binti niende naye nimpe lifti maana anaenda njia moja na mimi. Nikasema ok. Tulipoondoka tukafahamiana majina na story za hapa na pale ili safari isonge. Tulipokaribia atakaposhukia akaniomba namba, na kusema mimi nitakuwa mtu wa muhimu kwake. Nikauliza kwa nini? akasema uelewa wako wa maisha na kisomo chako naona you have alot in your mind and visions. Nikamwuliza kivipi? akasema si nimeona mlivyokuwa mnapanga mishe zenu hapo, yaani mpaka nimetamani ingekuwa mimi.

Tulipofika nikapaki gari, ilikuwa tayari saa mbili kasoro usiku na giza limetanda. Baada ya kusimamisha gari, binti akawa hashuki kwenye gari, anapiga story tuu. Sasa mimi tatizo langu siyo mwongeaji sana kivile, yaani domo zege flani kiaina, nikawa na mimi najibu story zake kumridhisha tuu. Nilipoona hashuki na gari inangurumisha mafuta tuu nikazima engine, ila muziki kwenye gari ukawa unaendelea kupiga tuu. Tukaendelea na mazungumzo, huku nawaza mbona hashuki? Mwishowe akataka kushuka, akanishukuru akawa ananipa mkono kuniaga, na mimi nikampa mkono. Tuliposhikana mikono akanitazama, huku hataki kuachia mkono.
Nikawaza hapa nifanyeje, mara hisia flani ikanijia, nikamtekenya kiganja cha mkono ili nijue anachotaka kufanya. Aaah kumbe ndo alichokuwa anakitaka. Akashusha mkono taratibu kifuani ananishika shika tuu na maneno flani ya kuvutia. Nikampiga stop kuwa tutaongea baadaye, this is not safe place.
Nimefika home nikakaa kwenye kochi mara sms zinaanza kuingia kuniuliza kama nimefika salama. Zikafuata zingine, umekula? Umelala? Akili yangu ikawa imevurugika . Wife akaniuliza, mbona hauko normal kuna tatizo gani? You are so serious why? Nikajibu niko sawa ni uchovu tu, najisikia kichwa kuuma (ili nipoteze boya tuu liishe).

Leo hii amenipigia simu ananisifia mambo mengi mweeeeee!!! Na mimi nimeshachanganya akili za kuambiwa na zile za mbayuwayu, nikagundua huyu anataka kunitumbua wallet yangu tuu hakuna lolote. Ukizingatia alitukuta tunaongea mambo ya business, na zile figures mara unataja 50m, 30m, 100m. lazima apagawe. Hivi nikimtenda alafu nikamdump mwishowe mimi ni wa kulaumiwa? Hivi kukutana na mtu masaa mawili matatu tu inatosha kufanya hitimisho kuwa unampenda?

Hakuna namna. kwa jinsi hii muumizwe tuu hamna namna.
 
Bro, kwanza pole ...
Atakayeumia ni wewe kwa sababu by any means you wanna be a looser, naye (binti) kuna kitu atagain from you. Hata kama sio fedha .. utapoteza tu na hata kama hutaumia ni kwa sababu labda una ukoma wa mapenzi.
 
Mkuu usipompa haki yake huyo atakudharau dawa yake mpe na mwisho wa siku mtie rock mwambie unamke..habari kwisha
 
Kilichonitokea jana kimenifanya niwaze mara mbili mbili kuhusu hawa viumbe wa kike hapa duniani. Iko hivi?

Jana nilienda kwa rafiki yangu kwa maongezi ya mambo ya business (it was an appointment). Tulikuwa tumeahidiana tukapange business plan ya mradi fulani ambao tumeshafanyia pilot study na sasa tunaanza rasmi. Sasa nikiwa kwa huyu jamaa yangu, mara akaingia binti, tukasalimiana na tukaendelea na maongezi yetu. Kwa kweli binti ni mzuri sana kaumbika kweli, alafu na kasauti flani soft amazing!! Baadaye jamaa akasema ngoja amsikilize huyu mgeni mara moja, mimi nikabaki napitia document husika ili tuichambue vizuri. Baadaye akaniita tukaendelea na mazungumzo yetu huku huyu binti akifanya kazi yake kwenye laptop ya jamaa.

Tulipofikia muafaka nikaaga ili niondoke, jamaa akaniambia hapana, nimsubiri huyu binti niende naye nimpe lifti maana anaenda njia moja na mimi. Nikasema ok. Tulipoondoka tukafahamiana majina na story za hapa na pale ili safari isonge. Tulipokaribia atakaposhukia akaniomba namba, na kusema mimi nitakuwa mtu wa muhimu kwake. Nikauliza kwa nini? akasema uelewa wako wa maisha na kisomo chako naona you have alot in your mind and visions. Nikamwuliza kivipi? akasema si nimeona mlivyokuwa mnapanga mishe zenu hapo, yaani mpaka nimetamani ingekuwa mimi.

Tulipofika nikapaki gari, ilikuwa tayari saa mbili kasoro usiku na giza limetanda. Baada ya kusimamisha gari, binti akawa hashuki kwenye gari, anapiga story tuu. Sasa mimi tatizo langu siyo mwongeaji sana kivile, yaani domo zege flani kiaina, nikawa na mimi najibu story zake kumridhisha tuu. Nilipoona hashuki na gari inangurumisha mafuta tuu nikazima engine, ila muziki kwenye gari ukawa unaendelea kupiga tuu. Tukaendelea na mazungumzo, huku nawaza mbona hashuki? Mwishowe akataka kushuka, akanishukuru akawa ananipa mkono kuniaga, na mimi nikampa mkono. Tuliposhikana mikono akanitazama, huku hataki kuachia mkono.
Nikawaza hapa nifanyeje, mara hisia flani ikanijia, nikamtekenya kiganja cha mkono ili nijue anachotaka kufanya. Aaah kumbe ndo alichokuwa anakitaka. Akashusha mkono taratibu kifuani ananishika shika tuu na maneno flani ya kuvutia. Nikampiga stop kuwa tutaongea baadaye, this is not safe place.
Nimefika home nikakaa kwenye kochi mara sms zinaanza kuingia kuniuliza kama nimefika salama. Zikafuata zingine, umekula? Umelala? Akili yangu ikawa imevurugika . Wife akaniuliza, mbona hauko normal kuna tatizo gani? You are so serious why? Nikajibu niko sawa ni uchovu tu, najisikia kichwa kuuma (ili nipoteze boya tuu liishe).

Leo hii amenipigia simu ananisifia mambo mengi mweeeeee!!! Na mimi nimeshachanganya akili za kuambiwa na zile za mbayuwayu, nikagundua huyu anataka kunitumbua wallet yangu tuu hakuna lolote. Ukizingatia alitukuta tunaongea mambo ya business, na zile figures mara unataja 50m, 30m, 100m. lazima apagawe. Hivi nikimtenda alafu nikamdump mwishowe mimi ni wa kulaumiwa? Hivi kukutana na mtu masaa mawili matatu tu inatosha kufanya hitimisho kuwa unampenda?

Hakuna namna. kwa jinsi hii muumizwe tuu hamna namna.

HAUNA PICHA YENYE SAMARI YA HILI GAZETI MKUU.
 
Ifike mahali sasa na sisi wanaume tuweze kusema hapana inapotokea binti anajichanganya changanya..Si kila anaye kutega na wewe unategeka tena ulimkuta kwa rafiki yako..Umejua wanauhusiano gani na huyo rafiki yako...Je ukija gundua ni kitu cha huyo rafiki yako ambaye tayari mko na mipango ya maana halafu wote mnakula kitu moja nini kitatokea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom