Penye ukweli tuseme tusiwe na chuki za bila msingi hongera membe juzi nimetoka jimbo la mtama wanakunena vizuri umepeleka maji nyangao big up dady, pia umeishi maisha ya watanzania waliowengi unaweza kufanya kitu kwao
Pinda kama unataka selikali mbili tuambie na majibu haya mbona zanzibar kwenye katiba yao wameainisha kuwa zanzibar ni nchi, wana wimbo wao, bendera yao, katiba yao inaruhusu wazanzibari ndio wanahaki ya kumiliki ardhi tu? Sasa tanganyika haina katiba, wimbo, bendera huu ni muungano gani? Hivi...
Big up: Ni kweli kabisa hawa wanasiasa wanavtyotaka selikali mbili watupe majibu yafuatayo huu ni muungano gani ambao zanzibar wanakatiba yao, wimbo wa nchi yao kama wa taifa, bendera yao, wakati sisi tanganyika hatuna hivyo na vigine vingi
Anastahili mandela kuheshimiwa alifungwa miaka 26 kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi ili kuwakomboa waafrica weusi africa ya kusini, aliwasamehe waliomfunga nani anaweza? Wazazi wake walimuomba kuachana na harakati za siasa lakini mandela alisimamia msimamo wake anatisha, maisha yake ya...
Hongera sana Obama umeongea vizuri sana kwakweli unaupeo wa kufikiri hata kama wewe hujawahi kutekeleza sio vibaya kusema ukweli hakika unadamu ya afrika
Viongozi wa zamani kama mandela, nyerere wanatofautiana na wasasa wa zamani walijitoa kwa ajili ya wengine, walihangaika kutafuta furaha, amani, haki ya wengine waliweka maslahi ya wengine mbele yao nyuma ni mfano wa kuigwa viongozi kama hao sasa hakuna wamebaki wa kuweka maslahi yao mbele ya...
Msiwe na mawazo mgando kikwete hana kosa ukimshauri rafiki yako akikutukana utfurahi? Hata hivyi inaonekna eac walikuwa wanatafuta sababu na sehemu ya kututoa hakuna chochote lakini bora mwisho wangechukua ardhi yetu na rasilimali zetu watu wenyewe hata shukrani hawana najua rais wetu yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.