Mwenzenu sielewi ni kwanini?

Mwenzenu sielewi ni kwanini?

Ni nyie tu ndio amjui kipi choigwa. Hata mkitendewa vizuri vingi hamvioni.

Wacha porojo, wewe unaejua tuoneshe Nyerere ana kipi kinachoigwa?

Labda ungesema anaejiita Yericko Nyerere kajipachika jina la Nyerere wakati hana chembe ya Unyerere.
 
Last edited by a moderator:
Katika marais wote wa Tz, naona Kikwete yupo juu, Mtu kama Nyerere anashindwa kujenga nyumba yake ya kuishi, unategemea mfanyakazi wa kawaida ataweza kujenga kweli. kama hataweza kujenga unatarajia aishi kama Nyani? Sera za kuambukizana umaskini tu ndio tutakachoiga,

Nabii huwa hakubaliki kwao
 
Labda niongelee Mzee Mandela kwa vitu vikuuu 2
1) aliweza kuwasamehe makaburu na kuweza kukaa nao meza moja pamoja na shuruba waliyompa kwa miongo kadha. wazungu wenyewe hawaamini ndo maana wote wameishia kumsifu na kutuma salamu za rambix2. imagine kutoka kwenye black list ya wamerekani hadi world hero.
2) ameondoka madarakani na mpaka amekufa jana watu wake wote bado wanampenda kwa kujitolea kwake kwao.
 
1. walijitahidi kuhubiri na kusimamia wanachoamini kutoka ndani ya mioyo yao kikweli kweli.

2. Waliepuka kufanya siasa za kinafiki.

3. Hawakufanya siasa ili kujipatia mali au kutafuta sifa bali kwa lengo la kuletea hadhi mataifa yao na watu wake.

Kwa sasa wanasiasa wengi wanafiki, watafuta sifa, wasaka mali na ikitokea mmoja muadilifu atahujumiwa kwa kuzushiwa propaganda au hata kuuawa. ndo hivyo tu mkuu.
Umesema vyema ndugu.
 
Nimekuuliza "Nyerere ana kipi kinachoigwa?" unasema ooh "wewe humpendi". Wewe unaempenda nakuuliza ana kipi kinachoigwa?

Ukitaka kumuiga Mandela, kwanza anza kwa kufungwa miaka 26.0
[Wao akiwamo Mandela ndio walioonja adha ya ubaguz,utumwa na uonezi uliopita mipaka..waliandaa mising ya utu..ambayo mpaka sasa pengne ndiyo imewapa nguvu waafrika hata ya kusikika dunian..kwamba na wao wapo..ni ngumu kama nn kuwalinganisha na viongoz wa sasa..sisi tunajua nn zaid ya rushwa na wizi tu.
 
Viongozi wa zamani kama mandela, nyerere wanatofautiana na wasasa wa zamani walijitoa kwa ajili ya wengine, walihangaika kutafuta furaha, amani, haki ya wengine waliweka maslahi ya wengine mbele yao nyuma ni mfano wa kuigwa viongozi kama hao sasa hakuna wamebaki wa kuweka maslahi yao mbele ya maslahi ya taifa nyuma wapumzike kwa amani
 
Viongozi wa zamani kama mandela, nyerere wanatofautiana na wasasa wa zamani walijitoa kwa ajili ya wengine, walihangaika kutafuta furaha, amani, haki ya wengine waliweka maslahi ya wengine mbele yao nyuma ni mfano wa kuigwa viongozi kama hao sasa hakuna wamebaki wa kuweka maslahi yao mbele ya maslahi ya taifa nyuma wapumzike kwa amani

Kumfananisha Nyerere na Mandela ni kama kufananisha Mlima Kilimanjaro na Kichuguu.
 
Wana mengi ambayo hayatoshi hata kuandikwa.wao walitanguliza maslahi ya taifa na wananchi wake na kumuogopa mungu
walizionyesha busara zao na hekima walizojaaliwa kwa kila mtu na hawakuwa wajivuni
vyombo vyote vya habari duniani kote vimepiga kambi habari ya msiba wa Mandela kuonyesha alivyokubalika si SA tu bali ulimwengu mzima
Subiri kiongozi fisadi aage dunia kama dunia kana itamzungumzia
 
Back
Top Bottom