Doh,Mimi mtajua Tu tena kabla hata sijazikwa mtajua na mtakuja kunizika
JF imekuwa familia Bora Sana kwangu Tangu Niko primary Hadi sasa hivi Mzee mzima 😆😆😆
Sijui hata wanajuaje ila kuna Yule Ibra pia dah aliniuma Sana Yule kaka maana alichungulia kaburi na akarudi tena halafu after siku moja Tu akafa mazima
Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake tafadhali
Mtuma picha na mtumiwa picha wote ni watoto wanaleta utoto
Wanawake wenzangu wa JF mwanaume anaekupenda hawezi kukuomba picha za utupu
Mwanaume anaejiheshimu hawezi kuomba picha za hovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.