Alimaanisha tuna rasilimali lakin hatujui kuzitumia mfano tuna madini vyanzo vya maji kama bahari ,maziwa mabwawa ambayo kutokana nayo tunaweza Fanya shughuli kama kilimo ufugaji nk lakini watanzania nilichogundua tunataka shughuli za kupata pesa harakaharaka mfano MTU anaweza kuwa anaishi...
Sasa mkuu kwa hiyo kwa mfano ukimaliza kusoma degree je kama ukikuta unapanda kwenda daraja D je watakurusha daraja lingine au utapanda D na wenzako japo wana certificate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.