Daaa kama ulitumia muda ukawaza na kuamua kuandika hiki ulichoandika basi akili yako ni mzigo. Sasa chadema au Lowassa angeenda kufanya nin wakati hakukuwa na aina yoyote ya KAMPENI
Wanaomchokoza pia wana sehemu za kuzungumzia. Diamond katumia sehemu yake( muziki) kumtaja Gwajima. Kwa kuwa Gwajima hafanyi bongo flavour na yeye katumia uwanja wake kumjibu. Tatizo lipo wapi?
Umetumia muda mwingi kuandika utumbo tu. Hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwa kumkingia mtu kifua wakati ni kazi rahisi. Watu wakisema huna vyeti kuwakata kauli ni kutoa vyeti maneno mengi ya nini.
Ni maneno tu ambayo mara nyingi hayana uhalisia ni sawa na kumwambia mtu aliyefiwa na baba yake kwamba Mungu kampenda baba yako huna sababu ya kulia wala kuhudhunika. Hivi kwa akili yako unadhan we una umuhimu na uzito sawa na Nape au kinana ndani ya chama.
Hata mim sioni umuhimu wa bunge kama walipitisha bajeti ya mishahara kwa watumishi wa umma na mpka leo hakuna kilichoongezeka kuna haja gani ya kukaa bunge la bajeti.
Ungeingia kwanza kwenye website ya bodi kabla ya kuja na povu lako hapa. Hii habari na takwimu zipo kwenye website ya bodi sasa chadema wanahusikaje. Kiazi kweli wew.
Povu linakutoka na muhemko yako ya kisiasa. We umeona lema tu ndyo ana matatizo ila alichokifanya gambo umeona sawa tu. Arusha usije kimkakati utafeli. Lema kachaguliwa na wananchi wa Arusha walimuamin na bado wanamuamini na sidhani kama wananchi wa Arusha wanaweza kumchagua mtu asiye na akili...
Watu wana haki ya kupata wasiwasi muda wa kutoa mikopo serikali inakuja na vigezo kibao. Hivi vigezo walipaswa kuvitoa mwanzoni ili watu wajue waombe au wasiombe. Katika mazingira haya lazima watu wastuke
Chuo kipo Arusha maeneo ya Ngaramtoni. Kina walimu wazuri ambao wapo competent kwenye ufundishaji. Mitihani yao ni ya kawaida ambayo inapima understanding capacity maswali ya kuchagua True and False matching items hayo hakuna. Chuo ni cha dini kipo under baptist.
Inauma sana kinachoonekana sasa hivi kila mtu ofisini kwake anaomba wa chini yake akosee ili aite waandishi wa habari. Hakuna malaika chini ya hili jua. Na kwa jambo hili CWT ndiyo imenishangaza zaidi juu ya tamko lao la jana lililotolewa na katibu mkuu ndg Olochi ya kuitaka serikali iwachukulie...
Ni maandalizi tu kwani walimu wanaofundisha advance si ni form six na wanafundisha form six wenzao kilichoongeza ni taaluma ya chuo. Tuongee ukweli kuna walimu wangapi wanaofundisha advance wenye div 1 ya form six. Hata hawa wangeandaliwa vizuri kwa muda wa miaka 3 wangekuwa vzuri tu. Huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.