Tuambie kuhusu ufundishaji wao, mitihani yao, walimu wao, wanafunzi wao. Culture ya chuo kwa ujumla wake. Hope utatiririka kama kijana msomi. Ahsante sana!Kama umeomba Mount meru university (main campus) au unatamani kujua lolote kuhusu chuo hiki uliza ntakujibu