Bunge la Budget 2017/2018

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Naombeni nijue Tarehe ya Bunge la Budget 2017/2018 na je budget ya serikali inaanza kutumika lini
Asanteni
 
Naombeni nijue Tarehe ya Bunge la Budget 2017/2018 na je budget ya serikali inaanza kutumika lini
Asanteni
Sidhani Kama litakuwepo mwaka huu maana naona mapesa mengi tu tayari yameshapangiwa matumizi kuanzia ujenzi mpaka huduma za jamii Kama afya na elimu huku wakulima wakihimizwa kuuza bei wanayotaka
 
Wanaenda kuchukua posho tu. Bajeti anayo mkulu.

Ningekuwa mbunge Mimi wangenieleza kama bajeti inayoisha imetekelezwa. Kama bado hakuna haja ya bajeti Nyingine.
Shame on you mp' s
 
Bunge hua linaenda kula posho hawana lolote ningekuwa mimi ndio magu ningelipuulizia mbali huko
 
Hata mim sioni umuhimu wa bunge kama walipitisha bajeti ya mishahara kwa watumishi wa umma na mpka leo hakuna kilichoongezeka kuna haja gani ya kukaa bunge la bajeti.
 
Back
Top Bottom