Msaada WA pc aina ya Dell

Zinapatikana wap Mkuu

Unaidownload sema unatakiwa uwe na bundle si chini ya Gb 14(hii ni driver pack solution), otherwise unaweza kugoogle wi-fi drivers for dell( kuwa makini na model ya pc yako coz dell zipo za aina tofauti) ukiipata unaidownload then una install
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom