Hivi yule jamaa aliyekuwa anawashtaki Voda aliishia wapi maana sasa hizi bando tunaibiwa sio mchezo. Hivi unawezaje kuuza mabando umeandika siku nzima, baada ya kununua meseji inakuja inasema bando linaisha saa kumi jioni. Baada ya masaa 24 umetumia masaa 6 bando nimenunua saa nne asubuhi...
Mwalimu Kanyambo pale changombe primary school...hata vidudu alikuwa mwalimu Joyce mungu awape maisha marefu kama wako hai....
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani darasa la kwanza unaweza kuta mna walimu wasiozidi watatu....shule nyingi alikuwa mwalimu mmoja mmoja...ndomaana tunakumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona sababu za mtu kuoa wala kuolewa kama kuna masharti kwenye tendo....mda wowote mwanaume akitaka lazima apewe...ndo maana kaoa...ulipochukua mahali ulikubali hilo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani natafuta maduka yanayoweza kuuza ingredients za kutengeneza wine. Kwa kifupi kuna ingredient naitafuta inaitwa CAMPDEN.
Nimeshasumbua kichwa kutafuta mpaka nimechoka.
Msaada tafadhali
nilikuwa nampenda sana dai ila niliposkiliza interview yake dhidi ya ommydimpoz nilimdhalau sana ukilinganisha na mwenzake alivyosema....dai anajua nguvu ya media hakupaswa kuongea maneno ya kanga...
jamani kuna hizi index naomba anaejua zinatumika vipi anijuze maana nimejaribu kizifatilia mara ziwe negative mara postive ila sioni nini kinachozibadilisha plz naomba mtu anijulishe
ahsante mkuu...vp kuhusu hizi ipo mpya wanazinadi km ni mtaji wa viwanda...si inatakiwa kwanza kiwanda kiwepo then kiongeze mtaji...au kinaweza kuomba mtaji wakati kiwanda hakuna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.