Ina umeme, haina parking ila ina nafasi ya kupark zaidi ya magari matano na nafasi kubwa inabaki, hapana maji ya DAWASCO hayajafika ila kuna tank la lita 2000 na tunapanga kuchimba maji, ni dk tano kutoka main road na barabara inapitika vizuri sana hata kwa gari dogo, ni maeneo yaliyopimwa