COSTECH na grant za R&D | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

COSTECH na grant za R&D

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Developer, Feb 2, 2011.

 1. D

  Developer JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Wadau nilihudhuria network forum moja hivi, mkurugenzi wa COSTECH akatuambia katika ile pesa ambayo serekali inatenga kwa ajili ya research and develpment(R&D), which its have to be 1% of ts budget, japokuwa bado haijafika asilimia moja kwa sasa, wataitumia kusomeshea vijana masters na PHD za science ndani ya nchi, kuanzia academic year 2010/2011, lakini cha ajabu kuna watu wawili nawafahamu wameshaanza shule UDSM kwa hizo grant bila ya grant zenyewe kutangazwa kwenye public ziwe in a competitive manner..!!? Kuna mdau mdau yeyote aliyesikia zikitangazwa au zimeshachakachuliwa kwa kujuana!?
   
 2. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Thats Tanzania. Siku wakitangaza ina maana watu wanagraduate!!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hivi R&D ni kusomesha watu PhD?? kwanini wasitumie ku-assemble team walau ndogo ya research kutatua matatizo sugu ya kijamii yaliyopo ktk continuous basis? Kuna challenges nyingi tu ktk nyanja mbalimbali nishati, kilimo,ufugaji, uvuvi, ict, etc etc..kwanini tunakuwa wadwanzi kiasi hiki?
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wakifanya hivyo pesa za kampeni na mambo mengine ya kiswahili swahili zaitatoka wapi? In Tz spending is far better than investiment!
   
 5. Path Finder

  Path Finder Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  R&D! Usikute COSTECH hawana hata hiyo programme ya R&D, matokeo yake ni re-allocation of funds. We always fails because we are not planning, every thing we do is just an Ad-hoc thing.
   
 6. D

  Developer JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Mkuu si pesa yote inatumika kwa hizo scholarship, mwaka huu wa fedha walitenga 60billions for R&D, lakini ni watu 200 tu ndo walikuwa wanapewa scholarship for 2010/2011, na nyingine inakwenda kwenye R&D, utaratibu wa kuongeza researchers ni mzuri sema tu wanapeana kwa kujuana!!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yah, kila kitu ni dili bongo.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hao researchers wanasomea particular ujuzi au ndio vile hobelahobela kama kawa? mi nadhani IMO kuanza kama vile hatuna hata researchers wa kuanzia ni njia ambayo haitaleta mabadiliko yoyote ya maana. R & D essentially ni kuwa na project na kulink baina ya technical support, industry na watumiaji. Kama projects zingekuepo, ingekuwa rahisi tu ku-recruit watu wakafanya hizo technical support part na ikiwa pamoja kupata hizo degree, kwa maana ya kufanya research kwa nadharia na vitendo chini ya wasimamizi wao, at the same time projects zinasonga mbele.

  Kwa hiyo approach ya kusomesha kwanza kabla ya kujua the next step, watu watasoma na kupata hizo degree zao halafu wanachomoka kwenda kufanya kazi private au zisizo na tija na malengo mazima pesa kupotea bure .
   
 9. J

  Jamilajuma Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ma great thinkers kama huna cha kuchangia au hujui subject matter inayokuwa discussed ni bora kukaa kimya. Usiishushie hadhi ya forum hii inayoheshimika kwa watu wengi wapenda haki na maendeleo, including mimi ninayechangia.

  Nikweli shcolarship za Msc na Phd zimeshatoka na wanafunzi wengi wameshaanza masomo yao ktk vyuo vinne vya public. Ila kwa mwaka huu 2010/11 shcolarship hazikutangazwa bali wahusika (COSTECH) waliwasiliana na madirectors wa post graduate studies ili wawape majina ya wanafunzi ambao wana admission ila hawakuwa na sposnorship na hii imekuwa hivi kwa sababu hela kutoka serikalini zilichelewa kuwafikia COSTECH,( kwa sababu kama wangeanza kuzitanga mpaka kuwa shortlisted ingechukua muda na wanafunzi wasingeweza kuanza kwa mwaka huu wa fedha) nafikiri mnaelewa mwaka uliopita kulikuwa na uchaguzi.

  Na pia swala la watu waliokuwa sponsored liliangaliwa kwa makini sana na waliochukuliwa ni wale field zao zilikuwa zinamiss/ zinahitajika katika their respect institutions.

  Kwa kifupi COSTECH hawajachakachua chochote, labda kama watakuwa hawakupewa candidates sahihi kutoka university husika au taasisi za utafiti za serikali ambao wafanyakazi wao wamepata ufadhili huo.


  Mimi binasfi napenda kuwashukuru sana COSTECH maana wameniwezesha na mimi kuweza kusoma Msc.

  NB: Naomba kuwakilisha, naamini wahusika wenyewe watachangia zaidi
   
Loading...