Elections 2010 OFFICIAL RESULTS: CHADEMA yashinda kata 9 Musoma mjini

Musoma:
Udiwani CCM wamepata kata za Nyasho na Iringo tu nyingine zote Chadema imechuku

Ubunge: hadi sasa tulizojumlisha Nyerere amemzidi Mathayo wa CCM kwa zaidi ya Kura 4000

Urais: Slaa anaongoza kwa mbali sana

Vituo vingi vimekamilrisha uhesabuji matokeo kutangazwa na msimamizi wa jimbo muda wowote kutoka sasa
 
Tehe tehe, hakuna mchezo mura, Kikwete nimeambiwa kuna kata moja kaondoka na kura Moja.

CUF wameondoka na kiti kimoja cha udiwani.
 
Musoma:
Udiwani CCM wamepata kata za Nyasho na Iringo tu nyingine zote Chadema imechuku

Ubunge: hadi sasa tulizojumlisha Nyerere amemzidi Mathayo wa CCM kwa zaidi ya Kura 4000

Urais: Slaa anaongoza kwa mbali sana

Vituo vingi vimekamilrisha uhesabuji matokeo kutangazwa na msimamizi wa jimbo muda wowote kutoka sasa

Asante sana watani wangu na ole wenu mngenikaidi.
 
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM

Wekeni Data, isije kuwa Mamluki nyie mnachakachua matokeo
 
Musoma ni kweli kabisa habari hizo ...pande za nyamongo kwa sasa wanasubiria msimamizi atangaze matokeo ya Udiwani watu wapo nje ya Jengo la Matongo kusubiria mustakabali...Leo vijana wanasema hakuna kulala mpaka kieleweke!..Police wamekuwa marafiki wa raia kiasi kwamba wapo na wananchi pasipo kuwa na silaha zao zaidi ya bullet proof tu.!
 
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM

Huko wako sawa but tupe hesabu
 
Wakati wowote matokeo ya jimbo la Musoma mjini yanaweza kutangazwa rasmi, kwani inaelekea zoezi la kujumlisha kura linaelekea ukingoni. Kwa upande wa madiwani ni kama ifuatavyo:
Chadema imeibuka na madiwani 9
CCM madiwani 2; na
CUF madiwani 2

Jumla ya madiwani ni 13. Hiyo ni salam kwa Ma ...................ka.......... mba.
 
Matokeo rasmi kutoka Musoma mjini ni kwamba chadema wamechukua jimbo hilo kwa kwa nafasi ya udiwani ambao kata 9 zimekwenda CHADEMA, 2 CCM na CUF 2. Matokeo ya ubunge yatatolewa mida ya saa saba usiku huu.

SOURCE: msimamizi wa uchaguzi kupitia STAR TV
 
Wakati mwingine pesa sio kila kitu. Veda Mathayo wa CCM alimwaga pesa nyingi sana jimbo hili. Hazijamsaidia. Chama tawala Musoma Mjini ni CHADEMA sasa. Hii ni Manispaa ya kwanza nchini kuangukia Upinzani.
 
TARIME Mgombea wa CHADEMA ameshinda kwa kura elfu 21 dhidi ya CCM kura elfu kumi na nne na imeshuchukua robo tatu ya udiwani, hii imeshantangazwa i.e ni matokea rasmi.
Source TBC 1 na Star TV

Tofautisha Musoma na Tarime. Matokeo hayo ni ya Jimbo la Musoma Mjini sio Tarime.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom