Gari hii inahitajika!!!!

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
225
habari wadau kuna rafiki yangu anahitaji gari aina ya TOYOTA CORONA T I!!mwenye nayo tuwasiliane lakini atoe sifa za hiyo gari pamoja na GHARAMA halisi............negotiable
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,129
2,000
habari wadau kuna rafiki yangu anahitaji gari aina ya TOYOTA CORONA T I!!mwenye nayo tuwasiliane lakini atoe sifa za hiyo gari pamoja na GHARAMA halisi............negotiable
Corona TI? Ninavyofahama ni Carina TI My road au Carina TI
Naweza nisiwe sahihi lakini!
 
mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
225
Mimi ninayo carina TI ya mwaka 2002, ipo kwenye hali nzuri sana, haijawahi kuguswa engine, imetembea kilomita 78,000, engine size 1500 cc bei ni 8M

mkuu nipm ili nikuchek kwa hewa basi ili tuweze na kupata napicha kidogo na punguzo linaruhusiwa mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom