kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,866
- 2,746
Bila serikali kufanya maamuzi ya dhati ya kumtimua waziri wa mawasiliano omary nundu basi shirika lake la ndege litamalizika kabisa. Mimi nipo katika wizara ya miundombinu na ninaona wawekezaji wengi wanakuja kutaka kulikomboa shirika lakini waziri mwenye dhamana anagoma kuwapa kibali na kuwajibu waanzishe mashirika yao. Inasikitisha waziri kama huyu kupewa hisa na kampuni ya fly 540 ya kenya ili kuiua shirika la taifa na kuwanufaisha nchi jirani. Vilevile analipya na shirika la ndege la precision mshahara kila mwezi ili kuhakikisha shirika la atcl halisimami.
Nasema haya kwa machungu makubwa sana kwa sababu menejiment ya atcl imekatazwa kabisa kufanya maamuzi ya kuikomboa shirika na kuakikisha hilo serikali imewakataza kabisa kuchukua mkopo kwa ajili ya kuliendesha shirika huku wenzao wakisaidiwa na serikali japo ni kampuni ya kikenya.
Tusipo kuwa na uchungu wa mali zetu basi kamwe hatuwezi endelea.
Ila baada ya uchunguzi wa kina imegundulika nundu alikuwa anafanya kazi katika shirika la ndege la tanzania na aliondoka kwa hasira kwa kunyimwa cheo cha technical director hivyo paka leo anahasira na kumaliza hasira zake ni kuiua kampuni.
Wafanyakazi wanalijua hilo na sasa wapo tayari kwa lolote ila sisi kama wananchi tunataka shirika letu. Mambo ya kuhongwa tv na sim ili kuua kampuni hatutaki mheshimiwa nundu.