Kisukari cha mimba (Gestational diabetes - GD au GDM) ni aina ya kisukari kinachotokea wakati wa ujauzito, ambapo kiwango cha sukari kwenye damu hupanda kupita kiasi (hyperglycemia).
Hali hii hutokea pale homoni zinazozalishwa na kondo la nyuma (placenta) zinapoathiri uwezo wa mwili kutumia au...
Habari Mkuu Mwaka wa Mbele
Jambo hili lina ukweli. Huitwa Couvade Syndrome au Sympathetic Pregnancy.
Hali hii huwafanya wanaume wapate dalili za ujauzito kama vile kutapika, homa za asubuhi, kiungulia, kichefuchefu pamoja na kukosa usingizi.
Sababu za kutokea kwa hali hii huwa hazipo wazi...
Bila shaka umewahi kukutana na video hii iliyodaiwa kuwa Rais Trump alikuwa akisimulia jinsi Rais wa Ufaransa alipigwa na mkewe.
Lakini je, uhalisia ni upi?
Video hiyo inapotosha kwa kukatwa baadhi ya sehemu muhimu na hivyo kubadili ujumbe halisi. Trump hakuwa anamzungumzia Rais Macron na...
Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa katika muktadha tofauti na uhalisia wake.
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha video hiyo si ya mwaka 2026 bali ilikuwa ni mahojiano ya Mwezi Disemba 01, 2025 aliyofanya Padre Kitima na Jambo TV ambayo pia yalichapishwa katika chaneli ya TEC YouTube...
Umewahi kushuhudia madhara gani yaliyotokana na Taarifa Potofu?
Kisa cha Watu waliong’oa minazi wakiogopa kupata mabusha.
Mdau wa JamiiCheck kupitia ukurasa wa Instagram anaeleza kuwa kutokana na taarifa kuwa maji ya madafu yanasababisha mabusha, watu wa kijijini kwao waliogopa kutumia nazi...
Utafiti ni mojawapo ya vyanzo muhimu vya taarifa, lakini si kila utafiti unaochapishwa ni sahihi au unawakilisha ukweli. Kabla ya kuamini hitimisho la utafiti wowote, hakikisha umetathminiwa kwa kina.
Mfano mzuri ni utafiti uliochapishwa mwaka 1998 katika jarida la The Lancet uliodai kuwa...
Msemo huu kuwa ulaji wa Karoti unaongeza uoni wakati wa usiku uekuwa maarfu sana miongoni mwa watu lakini je uhalisia ni upi?
Makala iliyochapishwa na Medical News Today inataja faida mbalimali zitokanaz0 na ulaji wa karoti kutokana na wingi wa virutubisho ilivyo navyo.
“Karoti zina vitamini...
Hiyo ipo mkuu ilishafanyiwa kazi na uhalisia ni kuwa hakuna uhusiano wa kuvaa nguo nyekundu na kupigwa radi. Rejea hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/kuvaa-nguo-nyekundu-kunasababisha-kupigwa-na-radi.2013718/
CC TADPOLE Psalm 103 TAI DUME
Kumekuwapo na madai mengi kuhusu radi ambayo mengine si ya kweli, yafuatayo ni madai 10 pamoja na uhalisia wake.
Dhana Potofu 1: Radi haipigi sehemu ileile mara mbili.
Uhalisia: Radi inaweza kupiga sehemu ileile mara nyingi, hasa ikiwa ni eneo lenye kitu kirefu, chenye ncha kali na...
Madai ya kitovu kufanya uume usisimane
Madai haya yamekuwepo kwa miaka mingi. Mathalani, blog moja imewahi kuchapisha makala inayohusu suala hili mwaka 2012.
Kwenye Jukwaa la JamiiForums, mada hii imeanza kujadiliwa kabla ya mwaka huo. Mei 20, 2008, mtumiaji mmoja wa jukwaa hili aliweka andiko...
Binadamu tunatumia asilimia 10 tu za ubongo wetu?
Kwa mujibu wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu (Neurology) katika Chuo cha Tiba cha UAMS, watu wasiokuwa na matatizo ya mfumo wa fahamu hutumia karibu ubongo wao wote. Ubongo huwa na shughuli muda wote, ukidhibiti kazi za mwili zinazofanyika...
Dkt Bernard Kivuma kutoka Ifakara Mkoani Morogoro anaeleza kuwa kutokwa na damu puani (kitaalam epistaxis) kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama majeraha ya pua, kukauka ndani ya pua (dry mucus membrane), kujikuna au kuingiza kitu puani, kupiga chafya au kupenga pua kwa nguvu...
Kupitia ukurasa wa JamiiCheck kwenye mtandao wa Instagram mdau ameshukuru kwa elimu kuhusu dawa za meno, lakini pia ametaka kufamu kuhusu vidonge vinavyotajwa kupunguza unene, je kuna utapeli au vinafanya kazi kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.