Recent content by jamie sam

  1. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Ni kweli bila njia hizo zisizo rasmi, huenda elimu ya ICT isingesambaa kwa kasi Afrika, lakini leo Kuna njia halali na bure za kujifunza, tunapaswa kuhamia kwenye matumizi ya open source ili kujitegemea kiteknolojia. “Hackers” walisaidia kwa njia isiyo rasmi, lakini hatuwezi kujenga mustakabali...
  2. jamie sam

    JamiiForums Tanzania MacBook A1708 Black Screen Issue After Closing

    I am using a MacBook A1708 and have been experiencing an issue with its sleep and power functionality: 1. When I close the lid after using the MacBook for a while and reopen it, the screen stays black as if it’s off. 2. If I shut it down, close the lid, and reopen it, the MacBook...
  3. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Acha kupotosha jamii. Comment yako hii naona inakuelezea vizuri sana ww ni mtu wa namna gani… I bet wewe ni mmoja kati ya wale waa abudu mashetani. Mzee repent Mungu ni mwenye huruma.
  4. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Kutoka kusafisha vyoo mpaka kumiliki hoteli ya nyota 5. Hatujapigwa kweli hapa?

    Acha uwongo, Acha kupotosha Jamii kwakufanya ma binti zetu na dada zetu wafikiri wataweza kuja miliki five stars hotel kwa huwo mtaji unaousema eti "Ile kitu ya pale kati ni kiwanda na mtaji". Imagine ww ungekuwa mwanamke ungeweza tumia mtaji huwo unaouzungumzia na kumiliki FIVE STARS HOTEL, if...
  5. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    So ulitaka Wathailand wa uwawe..? na siyo mTz, sasa ndyo nn sindo yaleyale. Wazee Acheni hizi mambo za ubaguzi.
  6. jamie sam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Mzee hii siyo kweli acha kutupiga kamba. “We unapenda micharuko ?” Kama jibu hapana basi hakuna anapenda micharuko, kama jibu ni ndyo basi ukikuwa utapokuwa unataka kutulia utaacha micharuko nakurudi kwenye vitu tulivu. Ushauri wa bure achana na micharuko itakuwa mzee.
  7. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

    Mzee mwamba yupo vzr anahitaji muda tu instead hizo judgement zako zibadili kuwa maombi Utakuwa umemsaidi
  8. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Mzee hizi mambo siyo kweli hizi taarifa za kwamba weusi tukigundua kitu sijui inakuaje kuaje hizi mambo hazipo, Wewe na familia yako Gundua kitu cha maana uone kama hujawa iconic Tz na Duniani kote. Shida ni kwamba tumekalia kufanya mambo yasiyo natija, vijana wanataka mafanikio ya chap chap...
  9. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Kama mikutano hii ni ya siri, ww umepata wapi hizi taarifa, au ww nawe ni mmoja kati ya wanaoshiriki kwenye mikutano hii. Na kama ni kweli unachozungumza basi tupe ushadi. Otherwise Acha ujinga wakutaka kuianzisha hiyo vita unayoitaja.
  10. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

    Siyo kila kitu ushirikina jombaah!, kama mpira ni ushirkina kama unavyofikiri ww basi Nigeria wange chukua kombe la Dunia
  11. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Je ni njia ipi salama kufanya manunuzi online(ALIBABA)

    Paypal is not acceptable kwa alibaba
  12. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Je ni njia ipi salama kufanya manunuzi online(ALIBABA)

    Hapana sijawahi kabisa fanya manunuliza ALIBABA ,
  13. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Je ni njia ipi salama kufanya manunuzi online(ALIBABA)

    Wadadu ninaswala moja hapa linanitaziza kwel nilikuwa na mipango ya kuanza biashara yangu ndogo ambayo niliuwa nafikiria kufanya zaidi online(through social networks) Nilikuwa nafiria kuanza kununua bidhaa kwa ALIBABA WHOLESALER kupitia mtandao lkn mpaka sasa nimefikia wakati naona imekuwa...
  14. jamie sam

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos

    Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 najishugulisha na Maswala ya IT zaidi, naningependa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos zetu hapa Tanzania.
Back
Top Bottom