Je ni njia ipi salama kufanya manunuzi online(ALIBABA)

jay sam

New Member
Apr 13, 2018
4
0
Wadadu ninaswala moja hapa linanitaziza kwel nilikuwa na mipango ya kuanza biashara yangu ndogo ambayo niliuwa nafikiria kufanya zaidi online(through social networks)

Nilikuwa nafiria kuanza kununua bidhaa kwa ALIBABA WHOLESALER kupitia mtandao lkn mpaka sasa nimefikia wakati naona imekuwa changamoto Kubwa sana maana njia zote ambazo nimekuwa nikizisikia si salama kufanyia manunuzi kwa ALIBABA ndyo akariba kila supplier niliyojaribu kuchat nao ndzo walizo pendekeza nitumie kufanya malipo.
Najaribu sana kuepuka utapeli, supplier krb wote wanapendeza nifanye malipo kwa njia hizi:
• Bitcoin Transfer
• Western Union
• CashApp
• Zelle Transfer
• Moneygram Transfer
Ningependa kupewa somo zaidi juu ya hzi njia za malipo hapo juu, na je njia ipi ya malipo ni secured kwangu kama mnunuzi zaidi ya nyinge.

Kwa mtu yyte mwenyewe elimu juu ya hili anaweza nifikia direct through 07855 79 224
 
1. umewahi hata kununua memory card aliexpress? muhimu kuwa na uzoefu hata kununua kitu kidogo ili usije ukalia baadae,

2. kutegemeana na unachonunua, kutumia loose cargo inaweza ikawa njia nzuri zaidi, unawasiliana na kiwanda ama duka husika china na unatumiwa mzigo kwa kushare na watu container, hii ndio njia safe wafanyabiashara wengi hutumia.

3. kuna matapeli wa kutosha Alibaba na Aliexpress kuwa makini, ni rahisi kutumiwa mzigo ambao hauna vigezo sawa na vilivyokuwa listed.
 
Back
Top Bottom