Recent content by jamesdousen

  1. jamesdousen

    Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

    Chief Mkwawa is the best
  2. jamesdousen

    Nani memba bora wa JamiiForums wa mwaka 2017?

    Chief Mkwawa is the best
  3. jamesdousen

    Nifahamisheni kifaa cha kuunganisha kwenye computer ifanye kazi kama Tv

    Okay thanks ila najaribu kuangalia njia ambayo itakuwa less expensive en efficiently....
  4. jamesdousen

    Nifahamisheni kifaa cha kuunganisha kwenye computer ifanye kazi kama Tv

    Nataka nitumie kwenye CPU kupeleka kwenye Tv ambayo INA port ya HDMI tuu
  5. jamesdousen

    Nifahamisheni kifaa cha kuunganisha kwenye computer ifanye kazi kama Tv

    Niliyonunua ni converter kama hiyo inayonekana hapo but imeshindwa kufanya kazi niliwahi kununua cable ndo kabisa ikashindikana nikambiwa mpaka niwe na converter na hii converter nilirudisha dukani nikabadilishiwa still ikagoma kufanya kazi
  6. jamesdousen

    Nifahamisheni kifaa cha kuunganisha kwenye computer ifanye kazi kama Tv

    Wakuu wapi ntapata working converter ya VGA to HDMI cable kuna ambayo niliuziwa k/koo zimekuwa hazifanyi Nazi msaada please...cc chief-mkwawa
  7. jamesdousen

    The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Umemaliza kila kitu kaka, thats well said for self evaluation
  8. jamesdousen

    The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Yeah en am always happy nikiwa hivi kujichukia kunakuja pale napokutana na changamoto maybe ya relationship en kuna watu around you wako kwenye relationship ambayo wewe unaiona en they are happy together na unatamani ungekuwa na relationship kama hiyo!
  9. jamesdousen

    The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Thats is so true en am one of these people HSP but naomba mnisaidie jambo moja mi inafikaga kipindi najichukia mwenyewe for being HSP coz kuna baadhi ya mambo yanakuwa hayaendi sawa especially kwenye relationships, kupata connection za career en so many other things mi nikipata hizi challenges...
  10. jamesdousen

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    I search google ndo utaipata kirahisi then install
  11. jamesdousen

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nimejaribu uktvnow inaonekana iko vizuri zaidi kuliko mobdro ...haigandigandi sana
  12. jamesdousen

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba nijuzeni namna ya kutoa hela kwenye akaunti ya meridian kupitia m-pesa…
  13. jamesdousen

    Whatsapp notice

    Tanx mkuu nimesha install imekubali japo hii OG bado cjaipatia ufumbuzi coz na yenyewe imegomaa
Back
Top Bottom