Michoro ya majengo(ground plans,elevation)inahitajika

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Yeyote anayehusika Na hiyo taaluma aonyeshe Kazi yake ,of is I take ilipo Na namba za simu Tafadhali muhimu
 
Kuonyesha Raman humu sheria/ board inakataza mkuu . Ila kama unataka maelezo kuanzia michoro , makadirio na ujenzi fika ofisini mikocheni 0714 707000 .
 
Sio kweli MKUU mbona Luna Michoro inaonekana? Onyesha Kazi zako tufanye biashara
 
Yeyote anayehusika Na hiyo taaluma aonyeshe Kazi yake ,of is I take ilipo Na namba za simu Tafadhali muhimu
Kwanini mtu aonyeshe michoro hapa?
Wapo wanatumia njia hii then inaiba plan ya michoro na mhusika hapati kitu, lakini ikiwa mhusika ameamua kujitolea kufaidisha wana jf hii ni habari nyingine
 
Wasiliana na 0743000055/66 , au fika ofisin kwao Kijitonyama Investiment Building 1st Floor(kwenye kanisa la KKKT kijitonyama)
 
Back
Top Bottom