Recent content by James07392

  1. J

    JamiiForums Tanzania NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    Nahtaji niwafuate huko ndio nmeweka makazi
  2. J

    JamiiForums Tanzania NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    Nawasubiri waje
  3. J

    JamiiForums Tanzania NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem SIMU: 0623450048/ 0746443601
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Asante ndugu yangu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Asante kaka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupanga matokeo kwa Excel

    Samahani wadau nilikua naandaa matokeo ya wanafunzi wetu hapa shuleni sasa kwa kutumia excel nimeshndwa fomular za kuweka last top 10. Hivyo kwa anayefahamu anisaidie tafadhali
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

    I SEE NI TATIZO NDUGU YANGU
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

    JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU, NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

    Asante saana boss ubarikiwe ..Upandaji ni kwa umbali gani kati ya mbegu na mbegu... Pia kila shimo ni mbegu ngapi zinapandwa......Na vipi soko mfano huku kwetu kansai mkulima akivuna anaenda kuuza kwa walanguzi wanalangua debe efu 30. Kama kuna uwezekano wa kulifuata soko kwa kusafirisha mzigo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

    Asante saana mkuu na vipi kuhusu mbegu upatikanaji wake
  13. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

    Ndugu wanaJamiiForums! Samahani naomba msaada kwa anayefahamu au hata kujishughulisha na zao la Ngwara. Tafadhali naomba nipatiwe elimu juu ya kilimo cha zao hili soko lake pia. Zao hili linalimwa sana Manyara na Arusha. Msaada wenu wa hali na mali wataalamu tafadhali.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha mkopo kutoka kampuni kwenda benki

    thanks kwa ushauri
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha mkopo kutoka kampuni kwenda benki

    I see,,,, wahuni sana haooo
Back
Top Bottom