ndugu zangu kwahili naungana na simiyu ni kwamba kwa tamaduni zetu ss wangoni kwa upande wa wanawake tunautamaduni wa kubiringita chini tukimsnisha furaha na shukrani za dhati na heshima kwa mgeni ama mtu flani muhimu.
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa huyu ajiitaye lemutuzi kukosa ubunge wa eac ,nimejaribu kutafakari kwa akili hii ya huyu jamaa eti anakuwa muwakilishi wa nchi yetu ktk bunge la eac .LOL ningehama nchi kwa aibu.
wewe shughulisha akili yako hata kidogo mfumo kristo Ndio mfumo unaoiendesha dunia au hujui? ww kutambua tu kuwa leo ni jumapili tar 13 2013 tayari hupo ndani ya mfumo,Yani haukwepeki hata ufe....chezea mfumo kristo ww,
for the first time nakuunga mkono ndugu chriss,katika c kwa akili ya Ghana sms kundi flani la watawala la n ya watanzania wote na cyo. ya Kuala ni5 ama 10 ijayo la ni yamkini nusu karne ama karne mzima ni jambo la busara tena hekima alilofanya RAIS kurudisha mswaada bungeni ukajadiluwe tena kwa...
kwenye biblia uko Mstari unasema -------- hata umuingize kwenye kiinu umtwange uwezavyo ukimtoa upumbavu wake bado hautomtoka,ila n kwa Neema ya Mungu tu..
ndugu yangu huyu mama Hannah kitu zaidi ya kulishwa ngano na hisia za ubaguzi wa kiimani amejawa chuki juu ya nyerere hata tukikesha kumueleza yote hayo na mengine mengi juu ya nyerere n sawa na kukamata upepo kwa konzi,kwanza hawezi hata kujibu maswalu mengi ya mcng,hana kitu Yan n sawa debe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.