Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
mods uongo kama huu mnauvumilia tu jamani?. huyu mleta uzi ni mwongo ondoeni uzi wake kwani unashusha hadhi ya jukwaa.
 
Mpaka muda huu haijaanza tu?

Hakuna radio yoyote iliyoko live jamani?

Natamani nisikie pumba atakayosema.
 
1 army mawingu walikuwa wanarusha live but wamekata c wajua ndo wanaoongoza kwa kubahatisha hapa bongo.P-square oyeeeee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom