Kuna dini moja tu ya kweli duniani. Moja tu. Narudia, moja tu. Itafute kwa bidii k. ama unavyotafuta dhahabu. Kazi kwako. Chimba, chimba update hazi a. Mafanikio hayaji kirahisi.
Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye atajisikiaje? Wengine wanalilia kupata mtoto na wengine wanasema nilizaa wa nini!
Baadhi ya habari zinazoandikwa humu zinashangaza Sana. Hivi siku hizi kiswahili hakifundishwi mashuleni? Fikili badala ya fikiri, safili badala ya safiri, Dora badala ya Dola, mahali badala ya mahari nk. Kiswahili gani hicho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.