James Ritu
Member
- Sep 12, 2024
- 12
- 4
Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye atajisikiaje? Wengine wanalilia kupata mtoto na wengine wanasema nilizaa wa nini!