Natamani sana Mheshimiwa waziri wa Elimu angeusoma uzi huu. Natamani sana. Natamani sana angewanusuru watoto wasio na hatia, watoto wanaoathirika na maamuzi mabaya ya wazazi wao. Nimesoma maoni ya wadau mpaka machozi yakanilengalenga!
Tunathamini elimu kuliko utu wa watoto wetu
Mtoto anapelekwa shule ya bweni tangu akiwa chekechea
Watoto wanakosa upendo wa wazazi wao na wanalelewa kama watoto yatima
Matokeo ya hizi shule za bweni tutayaona muda si mrefu.
FANYENI TATHMINI YA MATATIZO YA MITA ZENU ZA LUKU NA MTAFUTE PERMANENT SOLUTION. Watu wanateseka sana na mita za Luku. Tatizo ni nini hasa? Mafundi au? Hivi mnajua kinachoendelea?
1. Amekuonyesha leseni yake?
2. Unamfahamu?
3. Amekuandikia risiti?
Unamuachia funguo za gari ya mamilioni mtu usiyemfahamu? Kuna siku utaitafuta gari kwenye mifuko ya suruali yako?
'I begged them not to take my arm away': Albino woman reveals thehorrific moment gang hacked off her limb with a machete to sell to Tanzanianblack magic witchdoctor
Kulwa Lusana was 15 when she was attacked by five men in Tanzania
They hacked off her right arm with a machete and left her for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.