Recent content by jambotemuv

  1. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Kubaini matumizi yasiyo sahihi si ndo jukumu la Tanzania Auditing Corporation? Ni kweli kutumia pesa kwa shughuli tofauti na ilokusudiwa awali ni rushwa? Kama ndivyo tusemeje kwa miradi mingi ya serikali ilotekelezwa bila kutengewa fedha kwenye bajeti?
  2. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

    Yaingia akilini Morocco kuwajengea Tanzania uwanja wa kwanza Afrika kwa ukubwa Kama zawadi? Yani usaidiwe kumpita alokufadhili? Mh!!😇
  3. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu challenges Makamba & Kinana... "Defend your innocence or be declared guilty"

    The likes of Adam Lusekelo and Willy on Sunday new?
  4. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Christopher Gamaina afungwa miaka 30 jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu

    Hivi "unyang'anyi wa kutumia nguvu" huthibitishwaje? Au ni vyovyote kasoro kutumia silaha?
  5. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

    Jezi tulizoea ilisheheni rangi za bendera yetu. Ya sasa ni kama imepuuza Hilo kwa makusudi au uzembe
  6. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wabunge Peter Lijualikali & Suzan Kiwanga wa CHADEMA wanatafutwa na Polisi kwa udi na uvumba

    Kwa Sheria gani watawashitaki mara2 Kwa tuhuma ileile?
  7. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania KANUSHO la Mwonekano wa uwanja wa ndege terminal 3 JKNIA

    Ujenzi ulianza lini mnaokumbuka? Na hotuba ya uzinduzi si ipo?
  8. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Wamachinga haitokani na Marching Guy!!

    Huo ndo ukweli mengine ubishi tu. Wamachinga ni jamii ya watu wa Mtwara waloboresha biashara za mikononi. Kuwaita 'Matching Guys' ni utani uloibuniwa na waloivamia fani ya Wamachinga
  9. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Makosa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili, kwanini yanashamiri?

    Naamini tatizo haswa ni uandishi unaofuatia matamshi potofu. Pale lafudhi inapopelekea 'L' na 'R' kutamkwa visivyo na hatimaye maandishi kufuata mkondo. Ila bado maboresho katika lugha huzaa misamiati na hili la 'ga' kumaanisha tabia ya kitenzi ni mfano. Kadhalika maneno kufupishwa na...
  10. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Makosa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili, kwanini yanashamiri?

    Naamini 'ga' mwishoni mwa kitenzi yamaanisha kitendekacho mara kwa mara.
  11. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Mzee Ngoma ameanza kushinda au ndio mwisho wa mapambano!?

    Kwa maelezo yake alikuwa anachunga mbuzi porini akayaona. Hivyo kupita umepatia
  12. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Madudu ya Mungai, mteule wa Mkapa yaliathiri sana mfumo wa elimu. Bahati mbaya zaidi hata kuuzwa NBC na almanusra hata NMB ingeenda kama hayati baba wa taifa hakusimama kidete. Mikataba ya hovuo ya madini yalianza naye na picha zake akipokea koleo na baadaye pande kubwa la dhahabu alivyozawadiwa...
  13. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Nimeboresha kanuni kuzuia wanasiasa kugombea Tanganyika Law Society (TLS)

    Vifungu vyote alivyotaja sijaona kilichompa madaraka ya kuongeza au kupunguza yaliyowasilishwa kwake kama draft bila ridhaa ya alotia sahihi. Angekuwa na mamlaka nayo ingekuwa lazima pia aweke sahihi yake kudhihirisha kujiridhisha kwake. Nahisi upotoshaji wa wazi.
  14. jambotemuv

    JamiiForums Tanzania Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    "Kashushwa Hapa anasema ni mwanafunzi wa mlimani na alitekwa jana" na bado labda ni huyo? Hajijui jina? Nauli ya Tax porini na kweli ikapatikana kwa bei ileile? Ukampa nauli na ukaishia kwa mguu huko porini au?
Back
Top Bottom