Recent content by Jambo Tz

  1. Jambo Tz

    Miradi iliyokwama Mwanza

    Baada ya Awamu ya tano kuona kama Mwanza ni kitovu cha uchumi kwa nchi za maziwa makuu iliwekeza katika miradi mikubwa Minne 4 Nayo ni 1-daraja la busisi ambalo kwa sasa lipo kama halipo mkandarasi hoi 02-Kituo cha mabasi Nyegezi mkandarasi Mohamed builders kila siku kesi na watawala mradi...
  2. Jambo Tz

    Huko ulipo unaipata youtube ?

    Mbona kama vile chenga Duuuu
  3. Jambo Tz

    Dhana ya kwamba mshahara ukiongezwa na inflation itatokea ni dhana inayopaswa kufikiriwa na kichaa tu

    Umesahau na yule anaye sema kodi ya simu kwa siku 1000 kupamdisha uchumi umesahau kweli tuna watu wa ajabu nchi hii hakuna
  4. Jambo Tz

    Stendi ya Nyegezi Mwanza kulazimishwa Kubaki Nyegezi Badala Ya Kuhamishiwa Usagara "Ni Kosa Jingine la Mipango Miji na Siasa"

    Hv mwendazake kenda na mipango yake kwani nini kinacho endelea kwa sasa hapo Nyegezi [emoji2][emoji28]
  5. Jambo Tz

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Mwanza je[emoji2958]
  6. Jambo Tz

    Ujumbe wangu kwa Wanazuoni wa kiislamu

    Hapo sawaaaa kabisa diin ya kiislam haiendeshwi kwa mtizamo wako Inaendeshwa kwa dalili na Quran
  7. Jambo Tz

    Ishu ya Wilaya mpya ya Kisesa imeingia wapi

    Ilaishia wapi hiyo Mambo meeeengi yamekaaa kisiasa nchi hii ngoja tuone kama nalo litapita kama upepo wa kisulisuli
  8. Jambo Tz

    Ishu ya Wilaya mpya ya Kisesa imeingia wapi

    Ni mwendo wa kutwangana makonde kwenye vikao vyao [emoji3064]
  9. Jambo Tz

    Ishu ya Wilaya mpya ya Kisesa imeingia wapi

    Ila kanena jambo hapooo
Back
Top Bottom