Recent content by Jambo Jema

  1. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Angesema hata ki Tanga, " tafadhali nipe mideko na mahaba yako yote leo" 😅🤣🤣
  2. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Mungu tupe uvumilivu
  3. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemekana Trump alishakufa iliyopo ni clone yake

    Hii nayo kali
  4. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Style ya mapigo na mwendo nimeikubali

    Sasa ulikuwepo?!! Ulikuwepo!
  5. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haya tuko 2025 Sasa.. huyo Estevaó Willian ni mtu na nusu..
  6. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

    Mii siendi
  7. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Hutakaa umuheshimu mwanamke mpaka siku utakayoshuhudia akijifungua

    Unasoma biblia gani Kwan mdau
  8. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Ni jambo linaloshangaza sana kuona baadhi ya wanaume wanakasirika au kuharibu mipango wanapoona wake zao wanapata maendeleo kuwazidi wao

    Ni ubinafsi tu huo.. Kwan akifanikiwa hizo hela si Zina Rudi nyumbani familia inajengwa.
  9. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania Hutakaa umuheshimu mwanamke mpaka siku utakayoshuhudia akijifungua

    Mii nilishuhudia bhna, ila ni YouTube,.. kwakweli nilikaa 6 months bila kuwa na hisia na mwanamke, inatisha, kiufupi ni kama vile nilikuwa psychological affected.
  10. Jambo Jema

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

    Channel gani wadau Mii ata sielewi apa. Si tbc Wala east Africa hawaoneshi
Back
Top Bottom