Recent content by Jambazi hatari

  1. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaanika mali za Sh. Bilioni 3.5 za aliyekuwa mhasibu wake Godfrey Gugai

    Mkuu unawezA kufafanua kidogo?
  2. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaanika mali za Sh. Bilioni 3.5 za aliyekuwa mhasibu wake Godfrey Gugai

    HATIMAYE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanika mali za aliyekuwa Mhasibu Mkuu wake, Godfrey Gugai, ambaye utajiri wake unakadiriwa kuwa wa thamani ya Sh. bilioni 3.5. Miongoni mwa mali zinazomweka mhasibu huyo katika kundi la matajiri katika nchi hii inayotambuliwa...
  3. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Commercial plot

    Ndiyo. Zipo mkuu. Ni km 10 kutoka Kibaha mjini.
  4. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Bangi haibagui mtu

    It's seema huyu jamaa mleta hizi Picha ni kahaba.
  5. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Commercial plot

    Ndiyo unalipa kwa awamu mbili au full
  6. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutoweka

    Tuangalie kidogo hili kaburi.
  7. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Nyalandu acha siasa katika misiba

    Huyu Nyarandu ni mjinga kama wajinga wengine. Anatafuta sifa za kijinga baada ya Rais wake kumchunjia baharini. Kabaki kutapatapa tu.
  8. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Commercial plot

    Kiwanja chenye 887square metres kinauzwa. Kiwanja kimepimwa. Ni commercial plot. Kinapatikana Kibaha sehemu za Pangani karibu na ofisi za serikali za mitaa za Pangani ni 0.5km kutoka usawa wa barabara ya mapinga road(Kibaha(Loliondo)-Bagamoyo road. Bei. Kinauzwa 3.5million. Malipo Unaweza...
  9. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya makamu wa raisi wa jamhuri ya muungano na raisi wa zanzibar nani mkubwa?

    Inategemea na umri wao tu. Huyu wa Zanzibar anaweza kuwa na umri mkubwa kuliko wa bara au wa bara akawa na umri mkubwa kuliko wa Zanzibar. Just a matter of age.
  10. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje mwanaume kuvaa kanga na kujionyesha nayo nje?

    Nadhani wanaotumia kanga huenda wana element fulani hivi za kichoko. Sorry
  11. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Mdororo wa uchumi: Nakushauri Rais Ujiuzulu

    Hiyo taarifa IPO katika tovuti ya ifm na ilitangazwa na television za ulaya
  12. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Waliodakwa na Magufuli kwa kuficha magari bandarini wafikishwa mahakamani

    Mods badilisha title. Hawakudakwa na JPM. Ni upotoshaji kwa umma
  13. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Hodi,Mimi mgeni. Naomba ushirikiano wenu

    Haa. Na wewe ni jambazi?. Nadhani utofauti wetu ni neno *hatari*
  14. Jambazi hatari

    JamiiForums Tanzania Hodi,Mimi mgeni. Naomba ushirikiano wenu

    Nashukru sana ndugu yangu. Nimeziona kanuni za jf nadhani huyo faiza foxy hawezi kunipa tabu maana nawatambua wenye jf pekee kama nakosea kanuni za jf
Back
Top Bottom