Unajua gari ni kama mke nyumbani unakaa nae kila siku akinuna unajua leo nimemvuruga kwa namna moja au nyingine na tatizo kwenye gari uwa mara nyingi uanza taratibu mpaka kufikia kuaribika kabisaa, dereva mtaalam lazima ajue chombo chake anachokitumia, kwa sababu ufanyaji wake wa kazi inakuwa...
Huo ni mfumo mbaya sana,mimi nilianza kuendesha bila ya kwenda huko veta na wala sikuwahi kuwa tandiboy sijui,nilikuwa najua kuendesha gari ndogo manual nikapata fuso tipper ya tani 4,nikaendesha tu,japo kuna tofauti kubwa kuendesha gari ya mzigo na gari lisilo na mzigo,
baada ya hapo nikapata...
Chuo kipo morogoro kihonda pale atajifunza darasani kisha ataingia barabarani akitoka hapo ameshakuwa dreva,ila itamlazimu apate mtu mwenye kusafiri nae apart uzoefu zaidi
Tandem ni lorry lenye double diff na lazima iwe na leaf spring,zipo lorry zenye diff moja ila ina axle nyingine yenye kutumia airbags hiyo axle ya nyuma inaweza kunyanyuliwa ikawa inatumika moja yenye diff Hiyo inaitwa tag axle
Dar Lubumbashi ikizidi sana ni siku 10 iwapo hakuna Mambo yatakayo kukwamisha jinsi uwezo safarini,kinachofanya watu kukaa sana Congo ni matajiri kutokupenda kulirudishia gari bila mzigo,ndio unajikuta nimeshashusha mzigo,unasubiria wa kurudi nao Tanzania
Zipi trucks aina mbalimbali kama Volvo,scania,Mercedes-Benz,Dad c.f.,Dad Xf,Man diesel na mengine ila kwetu Tanzania Scania ndio truck inayoongoza hasa ukizingatia upatikanaji wa vipuri na matunda makenika wengi wanafikiria sana,ila kama unaanza usikimbilie trucks za G Au R series Euro 5,yavuta...
Tatizo wamiliki wa malorry wengi anaipenda sana cheap driver,wamesahau kuwa udereva ni taaluma kama zingine wanafikiria kuendesha gari ni kwenda mbele na kulenga madaraja,dereva ni zaidi ya hapo,kwenye malipo ya dereva nani anajua dereva analipwaje kwa safari ya kutoka Dar kwenda Congo au Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.