jamaa una mahab
fan boy, mi naangalia productivity ya machine na sio brand. Na kwa taarifa yako natumia Lumia 950 xl with continuum. Sio kila mtu anatumia Tecno we jamaa.
apple fan boy wana shida sana! With ipads hakuna creativity kabisa. Apple wamekua wa kukopy kila anachokifanya microsoft! Wakati microsoft alkuja na surface pen apple fan walicritisize sana! Miaka miwili baadae Apple kaja na Apple pencil! Ni mwendo wa kucopy na kupaste!
Hakuna haha ya kutoka insider tena, sa hvi ukisikia public release imetoka nenda insider sa hvi Kuna update Microsoft walifanya Kuna fast ringer, slow, preview, na production. Weka simu yako kwenye production then you are good to go!
Naisubiri kwa Hamu hyo .107 nna Lumia 830 inanambia iko up to date! Ila Jana Microsoft ka achia update kwa fast ring insider kwa Lumia 50 series na xaiomi mi4! Build. 14267 Redstone!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.