Finally Official Windows 10 upgrade is here

Mkuu natumia window 8.1 ambayo ni crack...naweza tumia hii upgrade??
mkuu hii posti nazungumzia simu. Kuhusu PC upgrade ilitokaga kitaaambo kweli ila ni compatible na Windows Genuine so kama ya kwako ni Crack maana yake ndio utanaswa na kufungiwa kabisa.
 
Nina mpango wa kununua Microsoft 640lte je ntapata update ya windows 10?
 
Hatimaye Microsoft wameachia Upgrade rasmi ya Windows 10. Cha kufanya download app moja inaitwa Upgrade Advisor, install then fata maelekezo.
Am enjoying each glance at my windows phone appearance. Android wanisahau.
Cc: Sharobaro, CHIEF MKWAWA

inacost mb ngapi ku update!! thanks god yangu ina 1GB ram ....
nimesoma hapa no ugrade to 512ram devices so sad wakati kwenye inside preview ilikuwa fresh..
Smartphones with 512MB of RAM will not be upgraded to Windows 10 Mobile
 
Microsoft has started rolling out the Windows 10 Mobile upgrade for a select number of older Windows Phones that are not in the Insider program. If you want to see if your specific Windows Phone can get the upgrade, we have the list of those devices as provided by Microsoft.

The list includes:

  • Lumia 1520
  • Lumia 930
  • Lumia 640
  • Lumia 640XL
  • Lumia 730
  • Lumia 735
  • Lumia 830
  • Lumia 532
  • Lumia 535
  • Lumia 540
  • Lumia 635 1GB
  • Lumia 636 1GB
  • Lumia 638 1GB
  • Lumia 430
  • Lumia 435
  • BLU Win HD w510u,
  • BLU Win HD LTE x150q,
  • MCJ Madosma Q501
Keep in mind that even if your phone is on this list, you may not be getting the Windows 10 Mobile upgrade today. As Microsoft itself states:

"The availability of Windows 10 Mobile as an upgrade for existing Windows Phone 8.1 devices varies by device manufacturer, device model, country or region, mobile operator or service provider, hardware limitations and other factors. To check if your device is supported and other important information, visit your device manufacturer's website."

You can also download the official Upgrade Advisor app from the Windows Store to see if your phone is getting the upgrade today.

source: Here are all the Windows Phones that are eligible for Windows 10 Mobile upgrade
 
Mweeh! Sasamimi nime update kupitia insider sijui itakuwaje!!!!!!??
 
download update advisor halafu fatisha maelezo, nathan kwenye installation ina format kila kitu hadi app ya insider!!
 
yaani ni hv, Natumia Nokia Lumia 630 ina Ram ya mb512, niliinstall update advisor ikaniambia Divice not surported to receive win 10 update nikasema isiwe tabu, nikainstall win insider then release preview kisha nikaupdate nikapata win 10, nika uninstall insider kisha nikainstall tena safari hii nikachagua Product ikaniambia nitakuwa nikipokea update moja kwa moja na sio Preview tena. Nikaenda settings then phone update nikapewa build no.10.0.10586.164. Ndo ninayoitumia lkn naona fresh tu haizingui wala nini. Sharobaro na Chief-Mkwawa
 
ukaaji chaji?
 
Ram ya mb512 ukiwa na insider inakubali??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom