wakati windows rt inatoka kuna watu kama wewe walisema maneno hayo hayo tablet ni za android na ios (ipad) tu, baadae windows rt ikamezwa na win 10 na sasa hivi ukiuliza tablet nzuri sokoni mtu yoyote mwenye akili atakwambia ni surface pro 3 au 4 au surface book, even ipad pro inaonekana toy mbele ya surface na oem wa android kama samsung, huawei, alcatel, xiaomi na wengine wengi high end tablet zao zinarun windows na sio android.
kwenye simu pia ndipo tunapoelekea sasa hivi core m, processor za intel zipo karibu kuanza kutumika kwenye simu na zikianza na windows phone kuhamia x86 ujue tayari kwenye highend android na ios zitapata pigo kubwa sana. imagine simu yenye driver za pc inayokubali mamilioni ya accessory kama mic za waandishi wa habari, gamepad za console mbalimbali duniani, simu inayoemulate vitu kama gamecube na playstation 2, simu ambayo ukiconect na tv au monitor inakuwa full desktop, buometric security za intel (real sense), cortana na mambo kibao.
future is microsoft, hololens, surface phone, surface pro, surface book[/QUOTE

future is microsoft, hololens, surface phone, surface pro, surface book[/QUOT