Recent content by Jakamoko

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naweza kusex na mtu anaeumwa U.T.I ?

    Unaweza, endapo tu utatumia condom. Otherwise, utapata maambukizo!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Uko sahihi, nia yako ni njema. Lakini sidhani kama atasoma ulichokiandika hapa. Ningekushauri, uombe appointment ukamtembelee pale Chamwino. Niliwahi kuona kijana mmoja kwenye Tv alioneshwa anaendesha baiskeli kutoka Geita, kama sikosei. Walidai alikuwa ni mwanainchi aliyeguswa na Mh. Rais...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    N Wagamba- Magamba, yale ambayo mlihimizana kujivua baada ya kutokosea wtz wote.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Inaelekea supu ya kijani waliyokunywesha pale Lumumba ilimekupoteza kumbukumbu? hakufukuzwa aliwajibika baada ya wagamba kumwibia pesa za watanzania. Akawajibika yeye. Kuwajibika sio lazima uwe umetenda wizi au kosa wewe. Unakumbuka mzee Ruksa aliwajibika alipokuwa waziri wa mambo ya ndani??? Na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutokumtamani msichana/ mwanamke baada ya sex

    Hahaha, anachumbiwa na mzungu??
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Lowasa ni waziri mkuu mstaafu au hujui hilo?? we kada wa kijani vipi hujui hata viongozi wako wastaafu???
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

    Halafu huku kwingine utaenda kulipia wewe? Mbona nyie mnaonaga pesa za mwanaume ni za kuchezea tu?? why?? Kodi alipe yeye, halafu umwambie mkafanyie kwingine, wapi? kichakani au?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    RAS naye, nani aliyempigia kura? Na mkurugenzi wa jiji?? Unashangaza kiongozi.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nilibadilika mwonekano na kung'aa nlipofika sehemu nlipopatia ajali

    Nyie vijana hamuamini kabisa kama, Mungu anapenda binadamu, na si makusudi yake kuona mtu anakufa!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shilole: Mwanaume bila pesa ni kama sanamu

    Njia zao, sio zenu! Hilo kwanza utambue!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona!!

    Acha shwagaz, NGO gani inalipa 4 milion? Imekuwa UNHCR?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hamas ya palestina yaishukuru korea ya kaskazini kwa support

    Aljazeera; world news!!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    Duh! nilisema umeme umerudi baada ya maadhimisho kuisha mchana huu! Nahisi kuna mtu anawaamru wafanye hivyo kila wanapoona, something goes beyond their expectations! hahaha... nimeelewa sasa hii serikali!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Shida nini sasa?? kama unataka kuzaa poa, kama hutaki ni pm nikupe ushauri nasaha!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    Nadhani watarejesha umeme maadhimisho yakiisha, baadaeee!
Back
Top Bottom