Hiyo kitu ni hatari....karibia akina dada wote wanaugua huo ugonjwa. Hatari....ukigusa unanata...lakini nashangaa sana thread za humu nyingi wanaume hawatumiagi kinga wakiwa na wapenzi wao au wakilala na wanawake...cha ajabu hawarudi jukwaani kusema km wanaugua U.T.I ...sasa najiuliza he hawaambukizwi????... Nakushauri ww acha atibiwe maana ukigusa unanata jumla...mtaanza kwenda kutibiwa wawili wawili