Recent content by Jaji Mfawidhi

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Turudi zetu kwenye ambo ya mpira, haya ya mabasi hayatuhusu.
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LIVE MATCH DAY: Yanga 0-0 Coastal Union | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | 12:30 Jioni

    Timu ya TFF, lazma ipewe ushindi wa goli 3 kuendelea.
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madeleka apandishwa kizimbani Kisutu, anatarajiwa kupewa Kesi ya Watanganyika ile ya Ugaidi

    Dah, Usiache maombi ya mnyororo.
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Dua kwa serikali? Huwa sielwi mtu akisema anaiombea serikali, maana kuna mtu anasema Serikali ni wewe na mimi, mara ooh ....jamani!
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Ticket zipo online, Nitoke Chanika buyuni mpaka shekilango kukata tiketi, then nirudi chanika kujiandaa kuja shkilango tena kwaajili ya safari? Mizigo nayo Shirika la Posta litapenyeza hoja isisafirishwe na mabasi, maana wameomba leseni za abiria tu na si leseni ya abiria na mizigo.
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Pole za dhati kwa Joanah kwa janga linalokusibu

    Dah, pole sana ndugu.
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Ha ha ha h ahah ! Umeambiwa makampuni 3 yameruhusiwa, sasa umepewa sababu, umetajiwa? vigezo unavijua?
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Nalo neno, Walioringa kuuza sasa wanajutia , lodge za manzese, mabibo na sinza kwisha habari yake.
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

    Mimi mume wangu was the first man na sijawahi kuwaza kumpa mtu mwengine tunda kwa umri huu nilio nao. Kwa wengine ambo hamkuwa "bikra" mlijisikiaje jamaa walipoinhgia ikapenya yote bila kizuizi?'
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini. Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kosoa kosoa hao. Mama anaipaisha nchi kimataifa. Tutaleta wasomali wawekeze kwenye elimu.
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mabasi kuondoka imekuwa kheri: Malori na ICD Wiki jiayo

    Na boda-boda nazo ziondoke turudishiwe daladala kama BRT wameshindwa kazi. Ni rahisi tu, kuzuia importation ya pikipiki na spea zake, zitaka chini, vijana wapelekwe kwenye kilimo.
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mabasi kuondoka imekuwa kheri: Malori na ICD Wiki jiayo

    Inasemekana Malori na ICD zote kuhamishiwa Bandari kavu ya Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka Treni kule. #Magu- mtanikumbuka.
Back
Top Bottom