Recent content by JAJ FASHIONS

  1. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ni kweli unachokisema mwana maarifa Tanzania hata kama ukijitetea vpe unapigwa na haki zako mkononi
  2. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Ni aina ngapi za Akili Unde (AI) zinatumika Tanzania?

    Jaman nahitaj kujua Hadi sasa ni aina ngapi za AI zinazotumika Tanzania
  3. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania

    Nkipata nafasi ya kuingia bungeni nitashauri Tanzania tuige mfumo wa elimu wa URUSI Kama haiwezekan tuangalie hata IRAN
  4. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Tanzania

    Guys co o,level tu had advance na huo kuku hilo somo lina somwa lakin binafsi nahis Longo la serikli ni ku exist tamaduni zilizo potea za kitanzania
  5. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    jaman mie sio mbali sana na swali la jamà hapo juu but mie nahitaj tu kujua hisa zinaanzia sh.ngap za kitanzania
  6. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

    shida unalalmika sana
  7. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nini?

    Guys nisaidieni kujua maana ya teknolojia
  8. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Nimfuate vigezo gani ili niwe mfanya biashara mkubwa Afrika?

    usikate tamaaa halafu kua muangalifu na u foucus kwnye biashara unayofanya
  9. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini biashara yangu ikue?

    nikiwa na mtaji wa laki 5 biashara gani naweza nikafanya ?
  10. JAJ FASHIONS

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini biashara yangu ikue?

    Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
Back
Top Bottom