UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

Ni vizuri kutengeneza portfolio ya kampuni tofautitofauti, mfano banking sector, investment nk ili kupunguza risk
 
Mwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency
Dse Bank zenye uhakika ni mbili TU. NMB na CRDB ukipata mpunga nunua nusu kwa nusu then tulia subiri baada ya miaka 5....... Utakuja na vigelegele hapa
 
jaman mie sio mbali sana na swali la jamà hapo juu but mie nahitaj tu kujua hisa zinaanzia sh.ngap za kitanzania
 
Back
Top Bottom