Recent content by jahtera

  1. jahtera

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kubadili taaluma ya elimu

    Soma procurement and supply chain management hutojutia
  2. jahtera

    JamiiForums Tanzania Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Yalishakukuta mkubwa
  3. jahtera

    JamiiForums Tanzania Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Naomba kuuliza kuna mdau anaifahamu account ya betsolutions ya telegram, huyo jamaa ana group lake la odds 2-3 kila siku na anatoza gharama ya mwezi mzima na nusu mwezi yaani siku 15, shauku yangu nataka kufahamu kuna ukwelii au ni mbinu ya kutaka kuwapiga watu ninafikili kujiunga kule maana...
  4. jahtera

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Pumnzika kwa amani Mwamba na Shujaa wetu,, Hongera Mama samia na serikali yako.
  5. jahtera

    JamiiForums Tanzania Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

    Umeongea kitu muhimu sana wahusika wanatakiwa walifanyie kazi ni uwazi usiopingika inakuwaje Mkuu wa Idara akiharibu sehemu moja anahamishiwa sehemu nyingine? Swali la kujiuliza huko anakohamishiwa Wananchi wanahitaji huduma mbovu kutoka kwa huyo Mtumishi aliyehamishiwa eneo hilo kutoka huko...
  6. jahtera

    JamiiForums Tanzania Agano Jeusi

    Story tamu sanaa afu mzee kapotea, kuja tumalizie uhondo huo
  7. jahtera

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

    Pumnzika kwa amani Jemedari uliyenivutia kujiunga CCM na kupenda siasa zako.
  8. jahtera

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Poleni wafiwa wazazi ndugu jamaa na marafiki wa Daudi. Tutaonana asubuhi iliyo njema R.I.P Mjukuu wa Mwl Nyerere.
  9. jahtera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mtego au?

    Mkubalie kisha kuwa busy na mambo yako usioneshe kama hilo jambo limekuudhi jikaze ajue uko normal kumbe unaugulia ndani kwa ndani ataludi mwenyewe, ila inahitaji roho ngumu sanaaa
  10. jahtera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Braza kupelekewa moto sio mchezo bora tu kuzaliwa mwanaume hapo bado hujazaa kwa oparesheni mala hedhi kila mwezii weee
  11. jahtera

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi inanifaa? Bachelor Degree in Human Resource, Marketing, Accounting and Finance au Procurement and Supply Management

    Nimeajiliwa halmashauri moja hapa nchini kama mwalimu, ndio maana nikaomba msaada wa mawazo kwa ndugu zangu katika hizo kozii nifahamu abc zake lakini nihusishe na mawazo yangu na ndoto zangu ni kipi nakitaka katika maisha ya utumishi hakuna anayefanikiwa kwa kujisimamia na kutegemea mawazo yake...
  12. jahtera

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi inanifaa? Bachelor Degree in Human Resource, Marketing, Accounting and Finance au Procurement and Supply Management

    Kwa mawazo haya, wazee wako walileta kiumbe mwenye akili sana duniani, hata uzao wako utakuwa umebarikiwa sana nakuombea kwa mungu uendelee na moyo huo huo.
Back
Top Bottom