Hahahahahaha ni zaidi ya kituko dona kantriii kushindwa hata kuwapa mikopo wanafunzi wa elimu ya juuu, nahisi walimaanisha dona kantiriiii na sio donor country..
Hamna kiumbe ccm wanamuogopa kama Lissu hapa tuu wanatoka povu kama foma gold je, akitangaza kugombea? Hakika kuna watu watajaza kinyesi kwenye suruali kama gunia la mkaa hahahahahaahahah
Tupende kujipanga kusafiri na luxury choo ndani for short call, raha kinyama unayumba tuu huku unakojoa, ila usiombe yatokee ya kutokea ukiwa chooni..siombei.
Very true hawa jamaa hadi raha nusu saa kula, nlisafiri nao wiki imepita, halafu hotel yao imekaa fureshiiii hasa pale counter ya vinywaji unaweza sahau kama unasafiri, hahahahaahahah
Daaah Balozi ame"concentrate" kumsikiliza yeye akili zimehamia chini kaitupia jicho ile 4 na guu jeupeeee hahahahahaha, Prof wetu ameyumba sana....kwa hiyo distraction mhhhh halafu kaingia mkenge..
Mhhhhhh unafiki tuu na akili za tumboni ndio umewajaa, inaonyesha viongozi wanaomsifia na kumtetea namba 1 wanakubalika na watu wote ila wanaokemea basi lazima walamba miguu watajitokeza tuu kujipendekeza kwa kutoka matamko kama vile wamejaza vinyesi kichwani, mbona akisifiwa hamjitokezi na hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.