Recent content by Jagermaster

  1. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa- prime area ukuni bagamoyo

    Nyumba inauzwa eneo la Ukuni Bagamoyo. Ipo planned area Ukuni Bagamoyo. Kiwanja kina hati. House designed for middle class family. Ina vyumba vitatu vikubwa,(one self contained). Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1009 na kimejengwa nusu, nusu nyingine imebaki for future use.For any serious buyer call...
  2. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Kinaitwaje Kifaa kinachotafsiri Lugha kwenye kumbi za mikutano ya kimataifa?

    Sijui kama kuna kifaa kama hicho, mimi ninachojua kumbi hizo zinakuwa na control room ambayo mara nyingi inakuwa above ukumbi,na watu wanaokaa huko huwa wanaangalia meza kuu bila washiriki wengine kuwaona na huko kunakuwa na wakalimani wa lugha mbalimbali,ambao wanachofanya ni kumskiliza...
  3. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyokuwa unayajua kwenye chokochoko baina ya Rwanda na Tanzania

    Umeandika vizuri ila ndege iliyotunguliwa ilitoka Dar es Salaam na si Arusha kama ulivyoandika Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    "Ndugu wananchi, mgogoro uliopo ndani ya CHADEMA ni kati ya WAHAFIDHINA na Wanademocrasia"- (Kabwe, 2013)
  5. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Walioso mbeyaday sec

    Na Mlugo pia kasoma hapo
  6. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

    Safi sana JK! waziri mkuu alishapoteza mvuto muda mrefu, kwani ni siri lakini
  7. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania mabasi ya mwendo kasi haya hapa

    Hapana, ni kama vile unashuka nyuma ya Dam squire
  8. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Uhafidhina ni nini hasa? Maana yake inapotoshwa...

    Uhafidhina ni Conservatism, kwa kiingereza.Kwa lugha nyepesi ni hali ya kupenda uasili wa mambo kwa gharama yoyote hata kama mambo hayo yako relevant au irrelevant katika wakati husika. Neno hili hutumika kutoa maudhui yanayofanana na maana hiyo katika nyanja mbalimbali, lakini hutumika zaidi...
  9. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Kikosi kipya Taifa stars chatangazwa hakuna mchezaji wa Mbeya city

    You need to be free minded, ndio waweza kutambua kuwa Mbeya City kuna wachezaji. Kama ukiangalia uwezo wa Mbeya City huku umezungukwa na ukereketwa wa ushetani wa Yanga na Simba hutaweza kuwaona. Mpaka watakapojiunga na timu hizo mnazoziita kubwa, zinazoongoka kuuwa vipaji vya wachezaji ndio...
  10. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Kikosi kipya Taifa stars chatangazwa hakuna mchezaji wa Mbeya city

    Mpaka wachezaji wa Mbeya City waje wasajiliwe Yanga na Simba au Azam ndio wataonekana. Huyu Mzungu MPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUZI kweli, keshaharibiwa na fitna za vilabu vya bongo
  11. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Madanguro yashamiri Dar, sheria iko kimya

    Mbona umeweka picha ya maeneo ya Bagamoyo wakati habari nzima hausiani na maeneo hayo ya Bagamoyo?. Ulikosa picha ya Mwananyamala, Buguruni, Kino n.k?. Acha kutubeep wakazi wa Bagamoyo bwana
  12. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Siamini kama ni upeo finyu wa Mbwambo, mwandishi ninayemueshimu kati ya waandishi wa nchi hii au wakenya wameingia mpaka kwenye magazeti ya Tanzania ili kupinga bandari ya Bagamoyo, kama magazeti ya Kenya yanavyoandika kuipinga na kuihofia kila siku. Article hii inamawazo finyu sana na imekosa...
  13. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Mpigaji hana shabaha, hajafa tu!
  14. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Bashir Ally (UDSM) Atafutiwe Jimbo!

    Hapo kwenye red hapo siyo kweli, Haroub hakuwahi kuwa VC wa UDSM, vyuo vya kata mnamatatizo sana
  15. Jagermaster

    JamiiForums Tanzania SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

    Lakini na maswali mengine jamani,... hivi gracier erosion ina maana gani kuifundisha kwenye nchi zetu hizi?. Tunabaki kukariri vitu vya kufikirika tu. Kuna physical features nyingi tu za kujifunza kwenye mazingira yetu tubadilike, huo ndio ukoloni wa fikra au uvivu wa kutafiti tu
Back
Top Bottom