mabasi ya mwendo kasi haya hapa

mabasi ya mwendo kasi haya hapa

Hahaaa bora nipande tu ki vitz changu
 
MAN~ Maschinebau Aus Nuerberg= Mechanical Engineering from Nuernberg hiyo no baba lao Germany.
 
Tatizo ni hii nyomi ya bongo yatawezeza kuzidisha mzigo zaidi ya mara 5? Maana tumeishashuhudia kama hayo yakibuma baada ya muda mfupi sana. Yalikuepo ya mbagala na segerea sasahivi wamepaki.

hayo ya mbagala ni mchina mkuu usifananishe na haya, kitu cha mjerumani hicho
 
1459908_10151781217911231_1426162298_n.jpg
 
mbona sioni tofauti na haya yaliyopo? kuna kama hilo linafanya trip za mbezi-kivukoni. ukienda pale kwa msuguri utakuta mengi tu yamepaki
 
Mbona kama ni used, hayo maandishi hapo mbele juu inonesha lilikuwa linamilikiwa na Hotel.
 
Hawa jamaa wangeleta package ya mega ride wangetusaidia sana. Unakata ticket ya miezi 6 ama mwaka mzima you keep riding.
Kila la kheri. Maintainance ya project ndo wasiwasi wangu.

Nadahani zitakuwepo, miaka ya nyuma kipindi cha ile UDA halisi palikuwa na tiketi za mwezi mzima
 
Haahahah, yaan kama watoto wadogo jinsi viongoz wanavowafanya wananchi wao
 
Kuna anaefahamu namna haya mabasi yalivyoundwa kama yameundwa Tanzania?

Je karakana ipo tayari na itakuwa wapi?

Yasije kuwa yaleyale ya enzi za UDA na KAMATA ambapo watu walikuwa wakiuza vipuri pale gerezani na sehemu zingine na kuishia kuyaua makampuni hayo makubwa.

Hakuna tofauti ya kampuni hii na UDA au KAMATA isipokuwa hiyo barabara ndio kipya na kwamba hiyo kampuni inatoka nje.
 
Mbona kama ni used, hayo maandishi hapo mbele juu inonesha lilikuwa linamilikiwa na Hotel.
Hili basi ni la majaribio wadau, mabasi madogo yatakua kama haya, na mengine makubwa ya kubeba abiria zaiadi ya 150, hilo basi unaloliona litakua linakusanya watu na kuwaleta vituo vilivyopo morogoro road ili wapande mabasi makubwa.
 
Back
Top Bottom