Recent content by jafari irigo

  1. J

    JamiiForums Tanzania ..Mawaziri saba watoswa.....

    hizo nimbio za vjiti haina loo kwani mlikuahamuwaoni sikuzote?ndo mnakumbuka shuka asubuh kumekucha msitudangenye mshindwe kwa jina la M4C.hatudanganjiki tena sikuhz tunawahikubalehe msitupumbavushe hapa hatuna iman na tawala
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    tusiwape wapinzan fursa watatumia udhaifu wetu wa kulumbambana ndo ulikua mtazamo wangu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    ningependa kukishauri chama chetu kitukufu cha CHADEMA kitoe msamaha kwa viongozi wetu kwani mudahuu wamalumbano ndo maadui zetu wanapata nafasi ya kutudhibiti mngakaa chini na kurekebishana tofauti zilizojitokeza nakuendelea na mambo muhmu ya kujenga chamachetu tuache malumbana kwan na wao...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    samahani kiongoz nimecoment kienyeji
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    mi naona bora wangechagua hata kiongozi wa dini ndo sio vigeugeu.hata padre au askofu.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ananipenda au?

    jaman ndugu zanguni mimi ndo mara ya kwanza kuomba ushauri wangu katika jukwaa hili. Nilikua naomba mnisaidie kwa hili ninampenzi wangu na ninampenda na yeye anadai eti ananipenda lakini hata miezi 10 inaweza ikapita bilahata kufanya mapenzi na yeye. Na nikimgusia tu kuhusu jambo hilo anagoma...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mmoja Mkenya aishtaki Serikali ya Israeli kwa kifo cha Yesu

    duu jamaa huyu itakua ni mjaluo.kwa sababu wanapenda umaarufu sana.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

    Baada ya watu wengi kutoa shuhuda zao za kuponeshwa Sukari, presha,ngiri na mazindiko ya mji na Dr Alhaji toka mkoani Tanga na kwa Maombi ya wakazi wa Mwanza sasa yupo hapa jijini wasiliana naye 0787625719.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchati tu.

    sasa unanichana live au tusaidianetu mawazo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchati tu.

    Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa Kilimanjaro natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    acha mbwebwe we mjaluo unatafutavichwa mpaka huku jf.haya sasa kaz kwako ukipata more than one ni fowardie.its me profesional.
  12. J

    JamiiForums Tanzania msaada ukweli wa hii msg wtsup

    jaribu kutuma uone
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kijana mmoja mwenye umri kati ya miaka 15-18 auwawa kikatili

    Kijana mmoja mwenye umri kati ya miaka 15-18 auwawa kikatili katika kijiji kidogo cha Mwaburugu kata ya Lamadi katika mkoa mpya wa Simiyu. Mashuhuda wakaribu wanasema kijana huyo na wenzake waliofanikiwa kukimbia walivamia na kuvunja duka la mfanyabiashara mmoja wa kijijini hapa na kutaka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Freemasons ?

    Habarini wana JF. Naomba kwa wanaofahamu freemason vizuri wanijuze. Katika fikra zangu ninafahamu ni mtandao wa siri . Mawazo yangu yalibadilika ghafla baada ya kupita katika mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu nakukuta matangazo kila kona yaliyoandikwa hivi. FREEMASONS kwa anayehitaji kujiunga...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msichana soma hapa

    Mimi ni kijana mstaarabu mwenye umri usiozidi miaka 25 .leo hii kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hizi kutafuta mchumba .kwa upande wa kazi mimi ni mjasiriamali toka mkoa wa Kilimanjaro . Awe na umri wa miaka 22 kurudi nyuma kwa mawasiliano 0763775496 ahsanteni.
Back
Top Bottom