Recent content by jadia

  1. J

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Tukusaidie nini tena wakati umeshajipa majibu mwenyewe, kwamba unampa muda asipobadilika umeshajipa alternatives (imagine unampa deadline wakati hata hujaongea naye, maybe tatizo ni wewe?) tukusaidie nini tena? Ndoa hujengwa kwa hekima na busara...................... Unaweza kujiona mzuri...
  2. J

    Mfuasi wa Boko Haram Anaswa na Nabii Emanuel (SCOAN)

    Kabisa waambie, hata wanaisrael walizunguka jangwani for 40yrs kwaajili ya dharau na kutokusikia
  3. J

    Kuitana "baby" mwanzoni mwa mahusiano.....

    Mkianza kuishi mambo mengi yanajitokeza ikiwepo tabia ambazo ulikuwa hujui mwenzako anazo, kuna family issues nyingi zinaingilia kama mambo ya ndugu, mambo ya income nayo kila mtu anakuwa na heka2 ya kutafuta (so expectation ya mmoja kwa mwenzie kama ataweza kumaintain the same income aliyomkuta...
  4. J

    Wanaume Kenya waruhusiwa kuoa mke zaidi ya moja

    really a dilemma what to choose:biggrin:
  5. J

    Help: I cant wash his underwear

    Very positive minded, Mungu akubariki wewe na familia yako. Seriously, wewe ni kichwa cha kristo ktk familia yako
  6. J

    Help: I cant wash his underwear

    Mh mie napita mana watu wameoverreact sana, looking at this issue in a single perspective. Atleast aelezwe prons and cons za kufanya hayo. I believe she is even more frustrated since these suggestions are subjective
  7. J

    Nimeoa, mke wangu amekuwa jeuri na kiburi mpaka nachanganyikiwa; natamani kuvunja ndoa!

    Hapo nimekubali. Watu wanateseka sana kwenye ndoa hawajui kuna evil spirits zinazopenda kuharibu ndoa. Shetani anapenda kuharibu taasisí ya ndoa sababu mungu ameipa utukufu. Hivyo sijui kumsusa au kumkomesha mkeo usidhani ndio solution. Mana unaweza kumwacha na kuoa mwingine akapata spirit kama...
  8. J

    kiburi cha mwekezaji huyu na serkali ya Tanzania,

    kwa kiburi kile lazima ana godfather. ana confidence na anachokisema
  9. J

    Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

    hivi kwani dar ni kama newyork,london, tokyo?? mana watu wanajiona kama kuishi dar wako peponi kumbe tabu tupu, halafu washamba kibao wajanja wachache
  10. J

    Kwa wanaume wa bongo: Kuwa na wanawake wengi sio sifa kwenye maisha!!

    Now you are talking!!!!!!!!! Hii ni issue kubwa
Back
Top Bottom