MILICOM NI KAMPUNI YA KIMATAIFA ILIUZA KAMPUNI ZAKE ZA AFRICA, ZINAZOJIENDESHA KWA BRAND YA TIGO KWENDA KWA KAMPUNI YA AXIAN GROUP, NA HAPA TANZANIA NDIO WAKAAMUA KUIITA HONORA TANZANIA
Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Latin America from the beginning, supporting their digital transformation.
Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Latin America from the beginning, supporting their digital transformation.
Naomba kufahamu unachoweza kukifanya vizuri zaidi wewe mwenyewe. Kimoja ambacho nimekiona ni kwamba unajua na unaweza Kuandika labda kama kuna mtu anakuandikia. Kama umeweza kuitumia hii JF Kuandika tatizo lako unaweza pia kuanzia na Kuandika huku ukiandelea na hustle zingine. Kwa kupitia...
#usiishienjiani leo: Unajisikiaje Unapoifanya Kazi Yako?
Ni muhimu sana uweze kujisikiliza na kutambua moyo wako unakwambia nini.
Moja ya vitu ambavyo tunakwama ni kushindwa kujisikiliza sisi wenyewe.
Unaweza kuwasilikiza wengine lakini huwezi kujisikiliza wewe unataka nini.
Mara nyingi ili...
Tatizo la watu wengi ni hili, wanapokataliwa kwenye maombi ya kazi au watu waliowapenda wanakosa kujiamini wanafikiri hawatapata tena kazi nyingine au mtu mwingine.
Nikwambie, Anza kujitengenezea mtazamo ambao utakufanya uone bado kuna nafasi tena. Ukikataliwa huku uone kuna nafasi nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.